Picha za Matukio Mbalimbali ya Ajali ya MV Skagit katika Bandari ya Malindi Zanzibar Leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Meli yahofiwa kuzama Zanzibar


Meli ya Skagit iliyokuwa ikitoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar inahofiwa kuzama katika eneo la Chumbe ikiwa na abiria wapatao 200.
jamani wenye habari zaidi ninawaomba watujuze ...................
 
Wenzio kabla ya ku-post tunaperuzi JF kwanza halafu BBC, El Jazeera, VOA na baadaye mitandao mingine ya TZ ili kubalance ukweli. Wewe kusikia tu wakurupuka kuweka post, kisa ati uwe wa kwanza, aibu!!!! Leo umekula wa chuya!!! Kajipange upya!!!
 
Duuuuh pole yako shekhee! Tayarii manusura zaidi ya 100 washapatikana na maiti zaidi ya 70,

Kama hujatuma jaribu kuperuzi kwanza mkuu!
 
Wenzio kabla ya ku-post tunaperuzi JF kwanza halafu BBC, El Jazeera, VOA na baadaye mitandao mingine ya TZ ili kubalance ukweli. Wewe kusikia tu wakurupuka kuweka post, kisa ati uwe wa kwanza, aibu!!!! Leo umekula wa chuya!!! Kajipange upya!!!
Mama mdogo i miss you Mama Mdogo
 
Last edited by a moderator:
IMG_5528.JPG

Meli ya Mv Skagit iliyokuwa safarini kutoka Dar kuelekea Zanzibar imezama majira ya saa nane mchana hii leo katika maeneo Pungume na Chumbe baada ya kukumbwa na upepo mkali.

Meli hiyo inayosadikiwa kuwa na abiria 250 inasemekana imepindukia upande mmoja na huku abiria wengi wakiweza kuokolewa kutokana na jitihada mbali mbali kupitia vile vile msaada wa boti za Mv Kilimanjaro, Tug ya Bandari na vyombo vyengine.

Mpaka tunandika taarifa hizi ni maiti tatu zilikwishapatikana na kiasi cha abiria 150 wameokolewa na waliojeruhiwa wanatibiwa katika Hospitali ya Mnazimmoja.

Taarifa zinaeleza kwamba kulikuwa na watoto takriban 30 na Watalii kutoka nchi mbali mbali wafikao kum
 
Back
Top Bottom