Mmeweka kitunguu kwenye chai imekua sio chai tenaki ukweli umenialibia siku kwa kuweka picha ya hawa....
JK nae wa ukweli sana
![]()
![]()
![]()
![]()
Uhuru Kenyatta
![]()
huyu mama anavyoonekana akipiga makofi tu umeondolewa duniani..
Huyu muuaji wa Thomas Sankara shitBlaise compaore - Burkina Faso, nae huyu nadra kupiga picha na mkewe
![]()
![]()
Kaka umeua kabisa aisee! Yule jamaa pale darajani huwa hachoki kusimama!Hii sura mbona nimeifananisha na jamaa mmoja uwa anakaa pale kwenye daraja la kinyerezi linalojengwa!!
Nae kakoswakoswa majuzi tu
View attachment 121283raisi wa wasafi na mke wake
Armando Guebuga.. Mozambique
![]()