Picha za Marais na wake zao.. Tupia humu

Picha za Marais na wake zao.. Tupia humu

Umevurugwa? Ulisema marais bila ufafanuzi,kwanini unalazimisha tuelewe unamaanisha wakuu wa nchi ikiwa tuna maras kila kona? Kwa taarifa yako hata magomeni wana rais wao na ni maarufu kuliko hao kina Nkurunzinza wako unaotaka wauzishwe sura hapa!

hahahahaaaaa umenichekesha wallahi,hajawa specific maana na mie ningeweza kumuweka rais wa TFF
na mkewe sijui ingekuwaje lol
 
mwenye ya wasira na mke wake hebu atupie hapa
 
President Habyarima
Z


Zuma and wife
images

Kenyata Uhuru ingawa huwa simuelewi elelewi

Z

Jakaya wa ukweli
9k=

Omar Bongo
2Q==


Mzee Mgabe
images
 
images

Me nahisi huyu jamaa hakubahatika kumpata mwenza...


"Nlikuwepo":bolt:
 
mmmh hii kitu ya wapi hii?
Hii kitu ni mfalme ya swaziland. Inayo harem ya wake ila huyo nadhani kama sijakosea ndio mpya. Hii mtu kila mwaka inaoa bibi mupya dogodogo. Maisha yake ni uroda tu.
 
Back
Top Bottom