Picha za magari mapya ya Polisi mtaani Dar es salaam

Picha za magari mapya ya Polisi mtaani Dar es salaam

Madereva wa polisi hapa ndio watauoana kweli kwa ndumba.
 
Inaniuma sana kuona pesa inateketea kununua magari mazuri sana kama haya wakati Polisi wenyewe ni kama hawa exist kabisaa!!kwa kweli sina imani kabisa kama hii nchi ina Polisi. Polisi wamekuwa ndio maadui zeti sisi wananchi, juzi nilikuwa pale Kibaha ktk tukio la ujambazi, Lah! sikudhania kabisa kama just opposite kulikuwa na kituo cha Polisi. Mapolisi wanakimbia hovyo kuogopa Majambazi yaani Its appalling as it goes! wasingenunua magari mapya na badala yake wangehamasisha ethics za kazi zao nchi nzima.
Hii inanikumbusha baba flani watoto walikua wanalia njaa yeye akawanunulia nguo za gharama.Tunashukuru wamepata vitendea kazi lkn bado wananjaa
 
sasa tutazidi kuwakoma kwenye bar zetu usiku mikwara ndo itazidi......."arooo....unajua mi nani....."...si ukamuulize mkeo?
 
Ni GM, aina imenitoka..

hizo gari SIYO GM.....ni MG part of ROVER....kampuni tofauti na LANDROVER....ni magari mabovu yaliyokosa soko hata kwa waingereza wenyewe...kiwanda kikafa WACHINA wakaokoa jahazi wakakinunua na kuhamishia production CHINA na hayo mnayoyaona ya polisi yametengenezwa CHINA....kiwanda halisi kilichokuwa UK kimefungwa....baadhi ya magari ya ROVER ni rover 200,300,75 ambayo sasa hivi hayatengenezwi tena.

cc: OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:
Magari mazuri wanalala kwenye nyumba za mabati!
 
hizo gari siyo gm.....ni mg part of rover....kampuni tofauti na landrover....ni magari mabovu yaliyokosa soko hata kwa waingereza wenyewe...kiwanda kikafa wachina wakaokoa jahazi wakakinunua na kuhamishia production china na hayo mnayoyaona ya polisi yametengenezwa china....kiwanda halisi kilichokuwa uk kimefungwa....baadhi ya magari ya rover ni rover 200,300,75 ambayo sasa hivi hayatengenezwi tena.

Cc: olesaidimu

acheniii niimbe achenii ninywe ""dompo"""

kaa mbali na ......
 
Back
Top Bottom