Picha za magari mapya ya Polisi mtaani Dar es salaam

Picha za magari mapya ya Polisi mtaani Dar es salaam

Kama walivyokarabati sero na kuwaweka vigogo wale Wa kafara sasa hata magari yatakua ya kubebea vigogo watakaokua wamekataa kugawa mlungura.vibaka na majambazi hawapand humo...yameletwa kwa wenye heshima zao
 
Dubai si ajabu kukuta Ferrari,BMW,Audi,Benz and the like zimeandikwa Polisi na zinatumiwa na polisi. Tz tumejiongeza kidogo.
 
tunayapa miezi miwili tu yatakuwa skrepa juu ya mawe... hii ndo BONGO nchi ya ujanja-ujanja.
 
Haya magari ndo yalitumika kusaidia maandamano ya CHADEMA?
 
Picha za magari mapya ya Polisi mtaani Dar es salaam.....KAMA DUBAI

attachment.php
attachment.php
attachment.php
Tunayasubiri baada ya miezi sita!!!
Yatakuwa viti vimekwisha kwa kupakia mkaa, engine inamisi kwa kupiga vipipe vya petroli, na tairi feki zimebadilishwa!
 
Baada ya six month yatakuwa choka mbaya but let's see what next 🙂
 
Back
Top Bottom