Inaniuma sana kuona pesa inateketea kununua magari mazuri sana kama haya wakati Polisi wenyewe ni kama hawa exist kabisaa!!kwa kweli sina imani kabisa kama hii nchi ina Polisi. Polisi wamekuwa ndio maadui zeti sisi wananchi, juzi nilikuwa pale Kibaha ktk tukio la ujambazi, Lah! sikudhania kabisa kama just opposite kulikuwa na kituo cha Polisi. Mapolisi wanakimbia hovyo kuogopa Majambazi yaani Its appalling as it goes! wasingenunua magari mapya na badala yake wangehamasisha ethics za kazi zao nchi nzima.