Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,325
- 9,532
Sasa unapotelea wapi?Ukiingia hutokimo! Just imagine hata nyota ikiingia haitoki! Not only nyota wanasema even light can't escape the gravity of black hole!.
Sasa unapotelea wapi?Ukiingia hutokimo! Just imagine hata nyota ikiingia haitoki! Not only nyota wanasema even light can't escape the gravity of black hole!.
It's a space curve! Ukielewa hii concept basi utajua gravity ni nini kwa mujibu wa Einstein.. Kama unapassion ya kujua hili mkuu Google au cheki YouTube utaelewa na vingi zaidi.Sasa unapotelea wapi?
hapana,kama mkusanyiko unatoa mwanga mkali,huo weusi unaoeusema unatokea wapi?,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa linafyonza mwanga wote unaoingia na halina uwezo wa kutelekeza hata chembe ya mwanga kidogo, na ndiyo maana linaonekana jeusi. Vyote vinavyoonekana vyeusi huwa vina tabia ya kufyonza mwanga, japo si wote. Shimo jeusi lenyewe nadhani ni Perfect Black Body, body ambayo hapo awali hatukuwahi kuwa nayo kabla ya ugunduzo wa shimo hli.Kwa kutajwa na muonekano ni kama shimo, lakini kimsingi sio shimo. Ni mkusanyiko wa mass (gases etc) na mwanga mkali unaotoka kama wa jua kuzunguka hyo mass. Sasa ule weusi wa katikati na mng'aro wa mwanga kulizunguka ndo unafanya dubwana hilo liwe kama ni tobo
Sent using Jamii Forums mobile app