Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,569
- 9,430
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.