Picha za Face Book

Picha za Face Book

This doesnt apply to me my Dear. I live by my standards, not by friends influence.

For your information, there is a difference between face book ''friends'' and friends.

Oh really? Whats the difference? Nijuze mwaya..
 
Nawamind sana watu watu wanaotaka facebook kuwe na maadili!!!mbona watu FB hawalalamiki JF kuna siasa nyingi????acheni wadada wajiachie ndo wanafanya mda mwingi niwe online na kweli wanasaidia kijamii!!!acha nikaupload picha mpya nikapate macomment nipate wa kuwa nae this weekend!!!!
 
Kama kuna picha zinakuboa acha kupekuapekua ktk fb we fanya mambo yako ukimaliza logout
 
Ni vizuri ukiwaambia pia na wao moja kwa moja na kama hawatapenda as long as si rafiki zako halisi unaweza kuwa'block' pia. Kila kitu chema huanzishwa kwa nia njema bali wabaya wanapoingia huanza kuchafua uzuri wa kitu au jambo, ni kawaida katika maisha. Thanks for your concern Vivy!
 
Mi nadhani una uhuru wa kuwablock marafiki wa aina hiyo.Ingawa hata mimi huwa sielewi kwanini mabinti wengi huwa wanaweka picha za kujidhalilisha.Vivy my dear wa staili hii hawantuaibishi ila wanajiaibisha!
 
nipee ac ya rafiki yako mmoja fasibuku sanaa ya huyoo alie vyaa kanga mojaa na kujimwagia majii,waaaaaaaaaalaaah naskiaaaa utamuuuuu
 
Bandika hapa japo moja tutajua kama ni promo au mambo mengine??
 
Hivi ni marafiki zangu tu au?

1, Kuna mmoja kaweka picha akiwa kakaaa chini, mapaja nje hala kufuli jeupe linaonekana kwa mbaaali.
2. Kuna mwingine kaweka picha kavaa kanga moja halafu kalowa maji mwili mzima ni kama vile yupo uchi.
3. kuna mwingine kaweka picha maziwa yote nje4. the list goes on.....

what massage are relly these photo sending out?

if what am thinking is correct then put your contacts too.

jamani mashosti acheni kutudhalilisha wanawake!!!

Nitag hii picha kupitia
Log In | Facebook
 
Ndhani ingekuwa vyema zaid kama ungeziweka hizo picha hapa ili tutoe maoni mazuri zaidi
 
Hivi ni marafiki zangu tu au?

1, Kuna mmoja kaweka picha akiwa kakaaa chini, mapaja nje hala kufuli jeupe linaonekana kwa mbaaali.
2. Kuna mwingine kaweka picha kavaa kanga moja halafu kalowa maji mwili mzima ni kama vile yupo uchi.
3. kuna mwingine kaweka picha maziwa yote nje
4. the list goes on.....

what massage are relly these photo sending out?

if what am thinking is correct then put your contacts too.

jamani mashosti acheni kutudhalilisha wanawake!!!
namba anuani yake ya facebook please
 
Vivian.....tukianzia na Avatar yako...iko sawa unavoona? Haijakaa ki-facebook?LOL
 
Back
Top Bottom