HULILO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 281
- 391
Acha wajitangaze tu ILA huyu bi dada lazima tumege tu..Sidhani kama bonge anaweza mambo
Wakati unamega hakikisha unakua na KY siku zote maana naona kabisa kupumuliwa kisogoni hakuko mbali
Acha wajitangaze tu ILA huyu bi dada lazima tumege tu..Sidhani kama bonge anaweza mambo
Hahahaha ushindwe kunikapakazia. Babu yako anaona wivu tu bonge kanyakua kifaa. Sasa mtu akiwa na kibamia+ gutambi ndo asipendwe? There is someone for everyone, wamuache bonge na mbebes mkareez wake
Mpana kama shati la mjomba wake mwenye degree 3 le mkareez hahahhaMpaka naogopa maana @atoto ni mpana huyooo hatare
Unabalaa ww au ulitest mwenyewe afu unamsingizia @Heaven Sent
Hahaha kawaida yake kunisingizia huyo, kashindikana dunia nzima
Yani wewe unasema wa nini, mwingine anasema huyu alikuwa wapi siku zote jamani. "Mapenzi hayana mwenyewe, unaweza Penda kijana au mzee eeeh" (malizia kuimba)Kila mtu na mtuwe kwakweli, unaposema wa nini kuna mwenzio anjiuliza atampata lini? Acheni tu haya mambo ya mahaba.
Yani wewe unasema wa nini, mwingine anasema huyu alikuwa wapi siku zote jamani. "Mapenzi hayana mwenyewe, unaweza Penda kijana au mzee eeeh" (malizia kuimba)
Kama nausikia huo mkwaruzo huko unaoimba sauti ya 9 na nusu tehKuna mudaaaa namuomba Mungu angekuleta mapemaaaa........aaaa aaaaa..... ila baaaado sio mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yanguuu.....
Hahhahaa ushindwe kumchuria mume wanguMuulize mwenyewe mumewe yukoje atakuambia.
Hahahaaaa!! Leo unakana eti?
Kama nausikia huo mkwaruzo huko unaoimba sauti ya 9 na nusu teh
Moyo wangu tembea na yuleeee
Mbona umecheka jamaniHahahahahahahaha
Muulize mwenyewe mumewe yukoje atakuambia.
Hahahaaaa!! Leo unakana eti?
Mbona sijaolewa bado jamani, sina mume hata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hee! Eti mumeo ana kibamia @Heaven Sent
Weee Tushukuru tu humu tunaandika, wengine tungegeuka mabubu ghafla. Sio kwa hizi unique vocals teh@atoto pole kumbe una sauti ya 9 na nusu