Nahofia hapo tuAcha wajitangaze tu ILA huyu bi dada lazima tumege tu..Sidhani kama bonge anaweza mambo
Mfyuuu basi wewe utavaa kanyela mumoHahahaaaaa! Mtavaa track suits
Ila hii nimeipenda aisee, unique bt classic
.............
Hahaha mnyaki halisi.eti kanyela mumo we mnyaki.nn he he heee
Mfyuuu basi wewe utavaa kanyela mumo
Yani nimewapendaje maids mweee, yani mwaaaaaah. Afu ukute wanajua kujishaua kidogo looh rahaje
Mfyuuu basi wewe utavaa kanyela mumo
Yani nimewapendaje maids mweee, yani mwaaaaaah. Afu ukute wanajua kujishaua kidogo looh rahaje
Majina yao nimeyasoma wapi sijui nishayasahau hata. Mkaka wanasema ndo wale wenye shule za Tusiime sijui.Bimdashi eti huyo ninani hahahaahah
eeeh nikuwakilishe me ndo naolewa kwani? Kwani wakati unachagua nguo ndo tuseme hukuona au?Hahahaaa! Mie sitakuwepo ukumbini utaniwakilisha na kanyeramumo classic!
Majina yao nimeyasoma wapi sijui nishayasahau hata. Mkaka wanasema ndo wale wenye shule za Tusiime sijui.