eeeh nikuwakilishe me ndo naolewa kwani? Kwani wakati unachagua nguo ndo tuseme hukuona au?
Hahaha mbona kashasema kimoyomoyo hapoBora umekaita mwenyewe haka ka @atoto. Kanapenda umbea balaa. Hapa lazima kaseme jamaa ana kibamia.
Jamaa ana sura ngumu kama ngumi ya mwizi... amenenepa kama kitimoto chenye mimba lakini mchuchu haambiwi kitu afu hapa mnatuongopea eti kuna mambo muhimu mwanaume anapaswa kuyafanya kunako sita kwa sita ili mridhike...Hahahaaaaa! Babu bwana, mimi sijasema mbona, wewe ndio umesema.
Teh wasalimieNgoja nipite tu,MB8 zangu zisije isha
Kama ambavyo ulinikana kimoyomoyo jana. Uzuri mi ni mvumilivu nshakusamehe na niko radhi turudiane kama zamaniHahaha mbona kashasema kimoyomoyo hapo
Jamaa ana sura ngumu kama ngumi ya mwizi... amenenepa kama kitimoto chenye mimba lakini mchuchu haambiwi kitu afu hapa mnatuongopea eti kuna mambo muhimu mwanaume anapaswa kuyafanya kunako sita kwa sita ili mridhike...
Nyie malofa sana wallah
Mmh ndugu yako hapa sijui nimerithi kwa nani teh , nashukuru tu haka kauzee nimeacha kidogo siku hizi. Ila isitokee inayonihusu, utaona tu uchogoMie hayo mambo ya maharusi harusi sijui sherehe, yamenipitia upande kwakweli
Hahaha hongera kwa uvumilivu babuKama ambavyo ulinikana kimoyomoyo jana. Uzuri mi ni mvumilivu nshakusamehe na niko radhi turudiane kama zamani
Teh baeleze baeleweUnaweza shangaa ni mwepesi huyo kukuzidi babu, tena anakuandaa hadi unahisi uko paradiso ndogo, usionje sumu kwa kuilamba ati!!
Jamaa ana sura ngumu kama ngumi ya mwizi... amenenepa kama kitimoto chenye mimba lakini mchuchu haambiwi kitu afu hapa mnatuongopea eti kuna mambo muhimu mwanaume anapaswa kuyafanya kunako sita kwa sita ili mridhike...
Nyie malofa sana wallah
Mmh ndugu yako hapa sijui nimerithi kwa nani teh , nashukuru tu haka kauzee nimeacha kidogo siku hizi. Ila isitokee inayonihusu, utaona tu uchogo
Wanafikishwa kileleni na pesa... vingine mbwembwe tuHawana lolote wao pesa tu hiyo kufika kibo sijui kufanyaje mbwembwe tu
Teh baeleze baelewe
Angalia usijekumegwa wewe cha MTU maviAcha wajitangaze tu ILA huyu bi dada lazima tumege tu..Sidhani kama bonge anaweza mambo
Wanafikishwa kileleni na pesa... vingine mbwembwe tu
Hahahaha ushindwe kunikapakazia. Babu yako anaona wivu tu bonge kanyakua kifaa. Sasa mtu akiwa na kibamia+ gutambi ndo asipendwe? There is someone for everyone, wamuache bonge na mbebes mkareez wakeTena unakuta anakutoa kijasho na hicho hicho anachosema babu ni kibamia maana anajua kukitumia, kuna wenye mitalimbo na ni hewa tu kitandani(heaven sent alinisimulia)
Tena unakuta anakutoa kijasho na hicho hicho anachosema babu ni kibamia maana anajua kukitumia, kuna wenye mitalimbo na ni hewa tu kitandani(heaven sent alinisimulia)
Hahaha kawaida yake kunisingizia huyo, kashindikana dunia nzimaUnabalaa ww au ulitest mwenyewe afu unamsingizia @Heaven Sent