Picha yangu ya mwaka huu ndio hiyooooooooooooo

Picha yangu ya mwaka huu ndio hiyooooooooooooo

Mtalia Sana na chuki zenu mwaka huu huyo unaemwita dhaifu ndo kaleta maendeleo Mara 100 kupita marais wote....
Naamu kajitolea kwa nguvu bila aibu kutwa kucha na kibakuli mkononi kwenda kuomba vyandarua vya mbu Marekani huku wamarekani wakijiokotea Urenium nchini mwetu kama waliweka! amewasaidia akina Chenge kurudisha chenji ya rada ambayo tunatumia kununua madawati ya plastiki kwa shule zetu za msingi na sasa tunawachangisha walimu elfu kumi ili kujengea maabala za shule zetu tukufu za kata, usisahau juhudi kubwa anazotumia kununua kondomu kwa kutumia michango ya Barick Gold wanaopanda mlima kilimanjaro kila mwaka ili kuchangisha fedha za kupambana na ukimwi, lakin juhudi zaidi ni zile za kiwanda cha ARV kinachomilikiwa na mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar mheshimiwa Madabida na kipenzi mkewe kututengenezea dawa feki za ukimwi huku wakilamba mabilion ya MSD! usichezee wapenda maendeleo wakweli hao! Duu! zidumi fikra mruaaa za mheshimiwa sana dokta wa madokta dhaifu!
 
Unataka adabu niiweke hapa jukwaani wewe kibaka siutaniibia! tulia kibwengo endelea kufaidi matunda ya chama twawala, eboo!

Ntafaidi Sana na ndio maana unachuki...

Ungekuwa na adabu usingeweka avatar ya kumdhalilisha spika wetu hivyo mnfsssssss
 
993741_356974441113652_1205103680_n.jpg


kivk tha ball!,thats bravo roger! Toch down!....papa hotel-bravo foxtrot golf
 
Nafikiti kwa ndege, Air Qatar ndiyo habari ila wana bei kubwa kidogo. Turkish Air wanatumia sana watoo wao na kwa maana hiyo, sometimes wafanyakazi wake wanakuwa wakorofi, si unajua tena Mjomba ni CEO?

Uwanja huo unaitwa St. Maarten........



FF hapa yupo kweli kuwa hii ilishaletwa hapa JF, ila si vibaya kurudia FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
mkuu kweli hii ni namba moja ya mwaka, namba mbili yule mbunge anaekata mauno bunge la katiba , tatu askari wanao dendeka.
 
Nafikiti kwa ndege, Air Qatar ndiyo habari ila wana bei kubwa kidogo. Turkish Air wanatumia sana watoo wao na kwa maana hiyo, sometimes wafanyakazi wake wanakuwa wakorofi, si unajua tena Mjomba ni CEO?

Uwanja huo unaitwa St. Maarten........



FF hapa yupo kweli kuwa hii ilishaletwa hapa JF, ila si vibaya kurudia FaizaFoxy

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom