Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957




Wacha kujishebedua we kibwengo, tangu lini ulipanda ndege wewe! kwenu Mbwinde utaijua ndege? Nenda kapande kwama la punda.Daah si mchezo
umenikumbusha mbali KLM ndo ilikuwa ndege yangu pendwa kabla ya kuhamia kwa akina turkish airlines
Ilishaletwa zamani humu JF.
zamani lini?Ilishaletwa zamani humu JF.
Wacha kujishebedua we kibwengo, tangu lini ulipanda ndege wewe! kwenu Mbwinde utaijua ndege? Nenda kapande kwama la punda.
Kweli tupu dogo kibwengo, maana bwana dhaifu atakuwa ametekeleza ahadi yake ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa pale Gungu... kudadadeki!Bwanamdogo relax tu wenzio tukikata anga....
Subiri ufipa siku moja itakutoa huko kwenu kigoma kwa KLM...
Kweli tupu dogo kibwengo, maana bwana dhaifu atakuwa ametekeleza ahadi yake ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa pale Gungu... kudadadeki!
Bwanamdogo relax tu wenzio tukikata anga....
Subiri ufipa siku moja itakutoa huko kwenu kigoma kwa KLM...
Mtu akitoka chumbani kwa mama yako na kanga ya mama yako kiunoni usithubutu kumwita mtoto, utapigwa laana bure!Hapana mkuu, sio bifu huyo mtoto Gwalihenzi anapenda tu kunichokoza
Mtu akitoka chumbani kwa mama yako na kanga ya mama yako kiunoni usithubutu kumwita mtoto, utapigwa laana bure!