Picha yangu ya leo hii


Huyu Lukuvi, Ndio kujikomba kwa waziri mkuu aonekane anawajibika au kweli ana nia ya dhati ya kuwasaidia waathirika????
 




Mmoja wa wapangaji waathirika wa mafuriko jijini Dar es Salaam, Kurwa Amir (40), akiwa na mtoto wake aliyejifungua Jumanne iliyopita katika Hospitali ya Amana baada ya kupatwa na uchungu akiwa nje ya lango la Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa ambapo baadhi yao wanaendelea kuweka makazi yao hapo


 

President Jakaya Kikwete pays last respects to the body of Member of Parliament for Arumeru West, the late Jeremiah Solomon Sumari at the Karimjee grounds in Dar es Salaam yesterday.Extreme right is the Dar es Salaam Regional Commissioner, Said Meck Sadiq.(Photo: Tryphone Mweji)
 

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dkt. Wilbrod Slaa jana usiku Ikulu jijini Dar es Salaamwakati uongozi wa chama hicho ulipofika kukutana na Rais kwa muendelezo wa mazungumzo ya mchakato wa katiba mpya.
 

Mmoja wa waathirika wa mafuriko, Stephen Katumba, akiwa na familia yake, Sophia Kioza na mtoto Angela Stephen, wakitua mizigo muda mfupi baada ya kuwasili katika makazi mapya ya Mwabwepande, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. (PICHA OMAR FUNGO
 

Tanzania Railway Limited passengers carry their luggage ready to board the train at the Dodoma Central Station yesterday. TRL resumed passenger train services after suspending them for about a week. (Photo: Ibrahim Joseph)
 

Abdallah Mohammed, akisogeza tofali mbele ya hema lake, Mabwepande, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Mratibu wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini, Grace Mawalla, alisema mahema mengine 100 yamekamilika na kufanya jumla ya idadi ya mahema yaliyojengwa eneo hilo kufikia 400 hadi kufikia jana.(PICHA: KHALFAN SAID)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…