Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

KATUNI(740).jpg
 
inabodi akaze buti, vinginevyo ataumbuka mno ...!
Mkuu kabanga Mkuu Nchimbi uongozi unamshinda hawezi kuongoza Wizara nzito kwenye uongozi infaa apewe Mtu aliye kuwa yupo Strong Man kuongoza Wizara ile nzito katika Serikali sio mtu kama Nchimbi haiwezi kabisa kuongoza hiyo Wizara ya Mambo ya ndani.
 
POLISI%20KUSUTU%20TENA.jpg

Baadhi ya askari polisi wanaotuhumiwa kuiba Sh. milioni 150 baada ya kuziokoa katika tukio la ujambazi eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam wakifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana
 
attachment.php






ipe maelezo yake unaionanje?



Mkuu anashangaa mwananchi kufanya magendo kwani anadhani magendo na wizi yanafanywa na viongozi tu wa serikali. Nafikiri hapa alikuwa anajiuliza kama na viongozi wanasafirisha biashara nje badala ya kuiba pesa wizarani.
 
slaa.jpg

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu Mkurungezi wa Ulinzi na Usalama wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare kukamatwa na polisi. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Said Arfi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom