ukweli ni kwamba kulikuwa hakuna haja ya kupanda kwa bei sukari hapa nchini kama ilivyo sasa,nikwasababu tu ya wenye uroho wa fedha wanachukua sukari nchini na kupeleka nje,sisi wenyewe tunaupungufu lakini bado watu na tunawajua kabisaaa! Halafu haohao badae wanaomba vibali vya kuingiza sukari nchini sababu ni kuwa hakuna sukari, tanaelekea wapi jamani Tanzania ya leo na wanao umia zaidi ni wale wa vijijini