Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Jk hajui kwanini TZ ni masikini lakini ashangaa kuojionea mali zetru zikihamishiwa nchi ya jirani........
![]()
Kipanya nae ataka kugombea Uongozi wa Mpira Uchaguzi Mkuu ujao kasheshe kweli huko Tanganyika mnaongozwa mpaka na akina Vipanya?
![]()
Rais Jakaya Kikwete wa nne kulia akiwa na miongoni mwa Marais wanaohudhuria mkutano wa nchi nane tayari duniani wanajulikana kama G-8, ulioitishwa na Rais wa Marekani Barak Obama wa kuzungumzia hali ya chakula duniani.