Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
- Thread starter
- #321
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein (wa 2kulia), akichukua chakula cha mchana ambacho kiliandaliwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama kutokana na kushiriki kwao maadhimisho ya sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa Amani, Zanzibar.(PICHA: IKULU ZANZIBAR)