Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Usikae mbali na hapa. Inakuja soon
naisubiri
Usikae mbali na hapa. Inakuja soon
He. Ukweli ganiutani wako una kweli ndani yake
Vaa miwani kabisa.naisubiri
Kweli. Maana, bidada anagaaaaUle usemi wa pesa sabuni ya roho nadhani walikosea. Pesa sabuni ya Ngozi atii.
No body ugly mbele ya pesaukiwa na pesa na ujue kuitumia, isikutumie unapendeza sana!!
HAKUNA MBAYA KWENYE PESA
Mwanamke Ukiwa na pesa kwa vijana wa sasa wanavyo penda kulelewa!!!He. Ukweli gani
HaswaaaNo body ugly mbele ya pesa
Maana ziko hadi surgeryHaswaaa
Mda si mrefu naleta yanguu.Nahisi mkuu Super women 2 utakuwa una fanana nae kwa karibu sana.
Mtandao unasumbuaUnachelewa dada![]()
![]()
Kumbe. Za kuongeza urefu zipo. Siutaki uandunjeMaana ziko hadi surgery
Daaa naingojea kwa hamu na gamu,.... hapa sibanduki.Mda si mrefu naleta yanguu.
Wewe sijui wa wapi. Ulisikia ng,ombe anazeeka maini nani.uzee kwa wanawake ni kitu kibaya sana aisee. watoto wanne hapo, kalio limeshaanza kunywea polepole, na bado anaishi na mtu aliye umri mdogo kwake ana mpanulia kabisaaa bila aibu.
Hahaha, nakumbuka babu yangu aliniambiaga mwanamke mwenye pesa au mkia a.k.a chura sio wa kudharau sababu ana nguvu kubwa, hata kama ni single grandmother.Wakina nani watawasema. Wakati. Hao single mather wa hivi wamewazidi kipato.thubutuuu
Kweli. Maana, bidada anagaaaa