Picha ya Zari Bosslady

Ule usemi wa pesa sabuni ya roho nadhani walikosea. Pesa sabuni ya Ngozi atii.
 
uzee kwa wanawake ni kitu kibaya sana aisee. watoto wanne hapo, kalio limeshaanza kunywea polepole, na bado anaishi na mtu aliye umri mdogo kwake ana mpanulia kabisaaa bila aibu.
 
uzee kwa wanawake ni kitu kibaya sana aisee. watoto wanne hapo, kalio limeshaanza kunywea polepole, na bado anaishi na mtu aliye umri mdogo kwake ana mpanulia kabisaaa bila aibu.
Wewe sijui wa wapi. Ulisikia ng,ombe anazeeka maini nani.
 
Kweli. Maana, bidada anagaaaa

Zari hata kama hangekuwa na hela, yaani masikini kabisa bado ni mzuri sana... unajua mzuri ni mzuri tu hata akiwa fukara utagundua tu huyu ni mzuri, pale pale ananyakuliwa anawekwa pazuri na wenye hela , then ana ng'aaa... kwa hiyo kuwa mzuri kwanza, mifano ipo... Kyln
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…