Picha ya thamani sana!

Picha ya thamani sana!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
1,399
Reaction score
256
CHI .jpg CHI .jpg

Umewatambua wanaume hawa? Mchunguze vyema huyo aliyeko katikati.😛eace:
 
Mbona ni picha ya kawaida tu ya watu waliovaa makombati ya jeshi tu wakiandamana
 
Sana tu mkuu. Tunahitaji wapiganaji kama hawa wa kuondoa wakoloni weusi na mafisadi zaidi ya kupe.

Mkuu kizazi hicho kimepita
Walioobaki kwa sasa ni mafisadi na wachumia tumbo wasiojali haki wala utu wala maisha ya wanyonge
Kimebaki kiazazi cha wezi na mabaka uchumi tuu ambao wako tayari kunywa dam za wanyonge mradi wao wafaidike na kile wanachotaka
Hatuna tena watu kama Che au Castro mkuu
 
Nilivyoiona hiyo picha mwili wote umesisimka.
Natamani leo hii Castro angerudi katika hali yake aliyokuwa nayo katika hiyo picha.
 
Nilivyoiona hiyo picha mwili wote umesisimka.
Natamani leo hii Castro angerudi katika hali yake aliyokuwa nayo katika hiyo picha.

Naamini hata waliokuwa wapinzani wa walitambua kuwa tulipambana na MWAMBA.
Look into his eyes & you 'll know who he was.
'talkn about Che.
 
Che ni kitu ingine bana
Naamini wapambanaji hawa wangekuwepo kwa sasa japo sio katika kupambana ili kupata uhuru bali kupambana na ufisadi na wizi unaofanyika mambo yangekuwa mazuri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom