Picha ya thamani sana!

Nakubali mkuu ni sawa na usiku wa kiza totoro!! Eti hii ni picha ya watu wa kawaida!!!???

Narudia tena ni picha ya kawaida tu, uwapo wa Castro na Guevara katika picha hiyo hakuifanyi kuwa na thamani hii imaginary mnayotaka kuiconvey hapa. Ni same madness inayowapata vijana kununua tshirt ya Che Guevara kwa Tsh 30,000 hadi 40,000 ama zaidi just because kuna picha ya Guevara ama bangi, very strange aisee
 
che guvara nampenda sana. huyu jamaa alikuja hadi congo kuikomboa. wamarekani ndo walio mpga lisasi. alikomboa nchi nyingi lakini hakuforce kuzitawala. huyo ndo mwanaharakati anaye igwa na wanaharakati wa siku hizi lakini hakuna hata anaye fikia robo yake. Mia
 
Mkuu uko sure kuwa ni wamarekani ndio waliompiga risasi? Ingawa CIA walihusika kuingeneer hiyo assassination lakini executers walikuwa wa Bolivia kama nakumbuka vizuri documentary ya BBC "Infamous assassination"
 
Narudia tena ni picha ya kawaida tu, uwapo wa Castro na Guevara katika picha hiyo hakuifanyi kuwa na thamani hii imaginary mnayotaka kuiconvey hapa. Ni same madness inayowapata vijana kununua tshirt ya Che Guevara kwa Tsh 30,000 hadi 40,000 ama zaidi just because kuna picha ya Guevara ama bangi, very strange aisee

Isiyo ya kawaida ni ya Osama labda......wewe humjui Ernesto vizuri

Ernesto "Che" Guevara (<small>Spanish pronunciation: </small>[&#712;t&#643;e ge&#712;&#946;a&#638;a]; June 14, 1928 – October 9, 1967), commonly known as el Che or simply Che, was anArgentine Marxist revolutionary, physician, author, intellectual, guerrilla leader, diplomat and military theorist. A major figure of the Cuban Revolution, his stylized visage has become a ubiquitous countercultural symbol of rebellion and global insignia within popular culture.

As a young medical student, Guevara traveled throughout Latin America and was radically transformed by the endemic poverty and alienation he witnessed. His experiences and observations during these trips led him to conclude that the region's ingrained economic inequalities were an intrinsic result of capitalism, monopolism, neocolonialism, and imperialism, with the only remedy being world revolution. This belief prompted his involvement inGuatemala's social reforms under President Jacobo Arbenz, whose eventual CIA-assisted overthrow solidified Guevara's political ideology. Later, while living in Mexico City, he met Raúl and Fidel Castro, joined their 26th of July Movement, and sailed to Cuba aboard the yacht, Granma, with the intention of overthrowing U.S.-backed Cuban dictator Fulgencio Batista. Guevara soon rose to prominence among the insurgents, was promoted to second-in-command, and played a pivotal role in the victorious two year guerrilla campaign that deposed the Batista regime.

Following the Cuban Revolution, Guevara performed a number of key roles in the new government. These included reviewing the appeals and firing squads for those convicted as war criminals during the revolutionary tribunals,instituting agrarian reform as minister of industries, helping spearhead a successful nationwide literacy campaign, serving as both national bank president and instructional director for Cuba’s armed forces, and traversing the globe as a diplomat on behalf of Cuban socialism. Such positions also allowed him to play a central role in training the militia forces who repelled theBay of Pigs Invasion and bringing the Soviet nuclear-armed ballistic missiles to Cuba which precipitated the 1962 Cuban Missile Crisis.Additionally, he was a prolific writer and diarist, composing a seminal manual on guerrilla warfare, along with a best-selling memoir about his youthful motorcycle journey across South America. Guevara left Cuba in 1965 to foment revolution abroad, first unsuccessfully in Congo-Kinshasa and later inBolivia, where he was captured by CIA-assisted Bolivian forces and executed.

Guevara remains both a revered and reviled historical figure, polarized in the collective imagination in a multitude of biographies, memoirs, essays, documentaries, songs, and films. As a result of his perceived martyrdom, poetic invocations for class struggle, and desire to create the consciousness of a "new man" driven by moral rather than material incentives; he has evolved into a quintessential icon of various leftist-inspired movements. Timemagazine named him one of the 100 most influential people of the 20th century, while an Alberto Korda photograph of him entitled Guerrillero Heroico(shown), was declared "the most famous photograph in the world".
 
Narudia tena ni picha ya kawaida tu, uwapo wa Castro na Guevara katika picha hiyo hakuifanyi kuwa na thamani hii imaginary mnayotaka kuiconvey hapa. Ni same madness inayowapata vijana kununua tshirt ya Che Guevara kwa Tsh 30,000 hadi 40,000 ama zaidi just because kuna picha ya Guevara ama bangi, very strange aisee

Unataka wanunue iliyoandikwa HENO HENO au I RUN DSM? Ukawaida na uthamani wa picha unatofautiana mtu hadi mtu! Ww inaweza kuwa hii picha ni kawaida kwamaana huenda mchango wa Castro na Che Guevara ktk harakati za kimapinduzi ww unauona ni wa kawaida tu kama ulivyoamka asb na kwenda kupiga soga asbuhi huenda wengine waliamka na kwenda ofc and vice versa! Ila kuna wengine picha hiyo ni zaid ya picha, na hivyo ni zaidi ya ukawaida unaouongelea ww! Hao walikua ni wanamapinduzi wa kweli......

Fikra za Che na Castro ni fikra chanya ktk nyanja zote... Ni fikra za kizalendo, ambazo ukizifuata hutaona ufisadi kama ulioshamiri sasa Tanzania. Ni fikra za kimapiduzi ya Uhuru wa mwanadaamu kiuchumu, kijamii etc. Ni fikra za usawa wa binadamu wote regardless of their race, ni fikra za maisha bora ambazo JK na serikali yao hawawezi kui-realize kwa sababu watendaaji ni km ww usiejua thamaani ya picha na mchango wa Che, Castro na akina Nyerere!

Picha moja ni maneno alfu moja! Asante mleta picha kwa kutufukirisha na kutukumbusha mbali! Hakika picha hii ni nzuri............
 
I am well informed about this dude just like u. Tuattach value katika legacy ya mawazo yao na si katika bust ama printed images zao that's my point.

Kuna namna nyingi za ku immortalize mtu amabye ni Icon kama huyu.......zikiwemo mementos kama hizi.........hapa ni nchia ambazo aliishi......zenye bunduki alikiwasha huko na kikawaka....

Ernesto "Che" Guevara (<small>Spanish pronunciation: </small>[&#712;t&#643;e ge&#712;&#946;a&#638;a];[SUP][6][/SUP] June 14,[SUP][1][/SUP] 1928 &#8211; October 9, 1967)

CheGuevaraCountries.jpg
 
Isiyo ya kawaida ni ya Osama labda......wewe humjui Ernesto vizuri

Ernesto "Che" Guevara (<small>Spanish pronunciation: </small>[?t?e ge??a?a]; June 14, 1928 – October 9, 1967), commonly known as el Che or simply Che, was anArgentine Marxist revolutionary, physician, author, intellectual, guerrilla leader, diplomat and military theorist. A major figure of the Cuban Revolution, his stylized visage has become a ubiquitous countercultural symbol of rebellion and global insignia within popular culture.

As a young medical student, Guevara traveled throughout Latin America and was radically transformed by the endemic poverty and alienation he witnessed. His experiences and observations during these trips led him to conclude that the region's ingrained economic inequalities were an intrinsic result of capitalism, monopolism, neocolonialism, and imperialism, with the only remedy being world revolution. This belief prompted his involvement inGuatemala's social reforms under President Jacobo Arbenz, whose eventual CIA-assisted overthrow solidified Guevara's political ideology. Later, while living in Mexico City, he met Raúl and Fidel Castro, joined their 26th of July Movement, and sailed to Cuba aboard the yacht, Granma, with the intention of overthrowing U.S.-backed Cuban dictator Fulgencio Batista. Guevara soon rose to prominence among the insurgents, was promoted to second-in-command, and played a pivotal role in the victorious two year guerrilla campaign that deposed the Batista regime.

Following the Cuban Revolution, Guevara performed a number of key roles in the new government. These included reviewing the appeals and firing squads for those convicted as war criminals during the revolutionary tribunals,instituting agrarian reform as minister of industries, helping spearhead a successful nationwide literacy campaign, serving as both national bank president and instructional director for Cuba’s armed forces, and traversing the globe as a diplomat on behalf of Cuban socialism. Such positions also allowed him to play a central role in training the militia forces who repelled theBay of Pigs Invasion and bringing the Soviet nuclear-armed ballistic missiles to Cuba which precipitated the 1962 Cuban Missile Crisis.Additionally, he was a prolific writer and diarist, composing a seminal manual on guerrilla warfare, along with a best-selling memoir about his youthful motorcycle journey across South America. Guevara left Cuba in 1965 to foment revolution abroad, first unsuccessfully in Congo-Kinshasa and later inBolivia, where he was captured by CIA-assisted Bolivian forces and executed.

Guevara remains both a revered and reviled historical figure, polarized in the collective imagination in a multitude of biographies, memoirs, essays, documentaries, songs, and films. As a result of his perceived martyrdom, poetic invocations for class struggle, and desire to create the consciousness of a "new man" driven by moral rather than material incentives; he has evolved into a quintessential icon of various leftist-inspired movements. Timemagazine named him one of the 100 most influential people of the 20th century, while an Alberto Korda photograph of him entitled Guerrillero Heroico(shown), was declared "the most famous photograph in the world".

Wikipedia stuff oh my! Ideal for beginners. Why don't you try "Cold War in the Congo: the Confrontation of the Cuban Military Forces 1960-1967" by Frank Villafana?
 
Wikipedia stuff oh my! Ideal for beginners.

Yeah........there are many beginners every other days.....just because you know something don't look down on those who don't........hapa tuna eleimisha wengi hasa kizazi kipya ambao hawawezi kujua ukweli wa Che.....but is the info correct or not,the source notwithstanding?
 
Mkuu wote tuna lengo moja, kuelimishana, that's why nimechukua approach hii ili ni provoke ili kuibua mjadala zaidi about this controversial revolutionary. Don't get me wrong
 
Yeah........there are many beginners every other days.....just because you know something don't look down on those who don't........hapa tuna eleimisha wengi hasa kizazi kipya ambao hawawezi kujua ukweli wa Che.....but is the info correct or not,the source notwithstanding?

Mkuu wote tuna lengo moja, kuelimishana, that's why nimechukua approach hii ili kuibua mjadala zaidi about this controversial revolutionary. Don't get me wrong
 
Unataka wanunue iliyoandikwa HENO HENO au I RUN DSM? Ukawaida na uthamani wa picha unatofautiana mtu hadi mtu! Ww inaweza kuwa hii picha ni kawaida kwamaana huenda mchango wa Castro na Che Guevara ktk harakati za kimapinduzi ww unauona ni wa kawaida tu kama ulivyoamka asb na kwenda kupiga soga asbuhi huenda wengine waliamka na kwenda ofc and vice versa! Ila kuna wengine picha hiyo ni zaid ya picha, na hivyo ni zaidi ya ukawaida unaouongelea ww! Hao walikua ni wanamapinduzi wa kweli......

Fikra za Che na Castro ni fikra chanya ktk nyanja zote... Ni fikra za kizalendo, ambazo ukizifuata hutaona ufisadi kama ulioshamiri sasa Tanzania. Ni fikra za kimapiduzi ya Uhuru wa mwanadaamu kiuchumu, kijamii etc. Ni fikra za usawa wa binadamu wote regardless of their race, ni fikra za maisha bora ambazo JK na serikali yao hawawezi kui-realize kwa sababu watendaaji ni km ww usiejua thamaani ya picha na mchango wa Che, Castro na akina Nyerere!

Picha moja ni maneno alfu moja! Asante mleta picha kwa kutufukirisha na kutukumbusha mbali! Hakika picha hii ni nzuri............

Overridden emotionally? Calm down, Get my point!

Legacy ya fikra zake ndo tunahitaji na si agenda ya wafanyabiashara wa magharibi ambao wanapromote picha ya Che Guevara ili waifanyie biashara katika products zao. Stuka kama wewe mjanja wa kweli! Hizo label za matisheti ya Che huwa zimeandikwa made in Cuba?
 
Lakini mkuu Utantambua kwa wengi wetu Che na Castro hata Nyerere wetu hapa nyumbani ni zao la wanamapinduzi ambao walipigana kuhakikisha kuwa mwananchi wa kawaida anaishi kwenye maisha mazuri
Ni wapambanaji ambao hawakutaka udhalimu au manyanyaso kwa raia wa kawaida yawepo na wala maisha ya mwananchi wa kawaida yanyonywe
Walilpambana kuhakikisha kuwa raslimali zilizopo zinagawiwa sawa kwa watu wa hali ya chini na hakuna matabaka ya walio nacho na wasio nacho
Ni mfano wa wanamapinduzi ambao kwa kizazi cha sasa hawapo na hakuna anayeweza kusimama na kutetea kile Che na Castro walichopigania

Ndo maana kwa wengine bado Che na Castro wanasimama kama icon ya wanamapinduzi ambao kwa hali ya kawaida tunawaenzi na kuwapongeza kwa namna walivyopambana kuhakikisha ustawi wa wananchi wa hali ya chini
 
Nakuunga mkono ulichokiandika mkuu
 
Au mlitaka tu comment za namna hii?:

1 Che na Castro makamanda wa ukweli!

2 Yeah ni Castro na Guevara

3 dah picha kali

4 bonge la picha
5 nice photo
6
7
Uwapi ugreat thinker wetu?
 
Nakuunga mkono ulichokiandika mkuu

Sishabikii kuvaa tshirt zenye picha za hawa watu maana zinatoka kwa watu ambao wanawatumia hawa jamaa kama alama za biashara na sio uhalisia wa maisha au mapambano waliyopambana Che na Castro
Watengenezaji wa Tshirt hizo wengi wao ni mabepari ambao wanatafuta biashara na sio kuwa wanawaenzi Che na Castro
MAisha au mapambano waliyopambana Che na Castro ni ya kumapinduzi na cha kuwaenzi ni kupambana na huu udhalimu na unyanyasaji ambao unaendelezwa na viongozi wetu ambao wanavaa tshirt za Che au Castro huku mioyoni mwao wanawaza kuwaibia wanyonge na kuwanyanyasa na hawaendelezi hata moja katika yale ambayo Che na Castro walipigania
 
Au mlitaka tu comment za namna hii?:

1 Che na Castro makamanda wa ukweli!

2 Yeah ni Castro na Guevara

3 dah picha kali

4 bonge la picha
5 nice photo
6
7
Uwapi ugreat thinker wetu?

Mkuu funguka na mawazo ya Castro na Che
Tumwagie kile ambacho leo mtoto wako akikuuliza baba hawa ni nani utamwambia
 
Au mlitaka tu comment za namna hii?:

1 Che na Castro makamanda wa ukweli!

2 Yeah ni Castro na Guevara

3 dah picha kali

4 bonge la picha
5 nice photo
6
7
Uwapi ugreat thinker wetu?

hatutaki hivi lakini pia hatutaki hivo ulivofanya..mbona senstensi uliyotoa ni sawa na hizi sensensi hapo juu.
 
Back
Top Bottom