Picha ya Teddy Kalonga

Well angalau yeye hakua ndumi la kuwili...anapenda ndio maana anashea na wenzake!We unajifanya kuponda kumbe unachekelea!Kumtangaza unakua kuwadi wake!Au ndo janja yenu kupata publicity!

Lizzy u mkweli,kama haijakaa njema we umeileta hapa ya nini??? she is good,na anaingiza hela hivyo....you go Teddy....show them and earn your money!!
 
Wina lukwale

d389cedcc9e16ec6.jpg


avatar35567_7.gif
 
yupo ofisini kwake, mwacheni achape kazi kwa juhudi na maarifa.
Kwa taarifa tk ni born again christian, mwacheni mungu aitwe mungu kwani humpa kila mmoja kwa njia yake.

sijawahi kuongoza kanisa hata moja.....komeni kuupakazia ukristo..."born again"...komeni tena komeni
wokovu ...???????? No no...no...!
nyie ndo mnawapa watoto wama mdogo kauli !
zungumzeni kitu kingine na sio kuhusianisha picha hizo na wokovu wa yesu aliyekufa msalabani...!
ungeweza sema kuwa ameachana na hiyo biashara ya kwenye picha na kuwa born again ningekuelewa
 
Jamani is so true nimesikia from reliable source kuwa ni mlokole and for your info also married woman. Sijui ni maadili gani anafundisha jamii ya kupose uchi in public.
 
Jamani is so true nimesikia from reliable source kuwa ni mlokole and for your info also married woman. Sijui ni maadili gani anafundisha jamii ya kupose uchi in public.

nafikiri ilikuwa kabla hajaokoka:rain:
 
ushaona wapi maneno yakachoma nyumba:wink2:

Sijaona ila nashangaa kuna mtu ananichukia bila sababu angekuwa mwanaume ningesema tunamgombea Nilham kweli kuishi na watu wa humu JF inahitaji moyo wa paka la sivyo unaweza ukanywa sumu.................
 
Sijaona ila nashangaa kuna mtu ananichukia bila sababu angekuwa mwanaume ningesema tunamgombea Nilham kweli kuishi na watu wa humu JF inahitaji moyo wa paka la sivyo unaweza ukanywa sumu.................

Mama nipe radhi kuishi na watu kazi,kila nisemalo wananiona mbaya ila huu wimbo nimeushau mwanangu uzee huu:wink2:
 
Mama nipe radhi kuishi na watu kazi,kila nisemalo wananiona mbaya ila huu wimbo nimeushau mwanangu uzee huu:wink2:

Unajua sisi ni vigumu sana kupiga picha za dizaini hizi unakumbuka sakata la yule binti wa Arusha aliejibadilisha jina na kujiita Nimo Abdilahi badala ya jina lake halisi la Nadia Mohammed ? alishinda miss Kinondoni na kupewa zawadi ya gari lakini familia iliingilia kati na binti akautema mchuma! Matwaghuti Wamechomoka Waislamu - ukumbi

Wenzetu wana uthubutu wa kufotoa still picha na mnato za aina yoyote wewe angalia picha za Nsia Swai, Flaviana Matata au Wema Abraham Sepetu hao kwa baadhi tu lakini list ni ndefu. Wenzetu maadili yao yanaruhusu sisi inabidi uwe kichwa ngumu kwelikweli........................
 
Hivi wadau huyu mdada ni mbongo? maana duh yaani si amini kama wabongo wanaweza kupiga picha kama hii, haijakaa njema kabisa maana nimeona samaki basi paka akalia nyauuuuuuu..........



Teddy Kalonga aka TK for the Ultimate Spike Girl 2009.

19 Aug 09

3e4b05d6a53fcdd4_69310.preview.jpg


Hey Guys

Just wanted to let you know one of my fab girls , Teddy aka TK of Total Knockout blog is competing for the Spike TV; Ultimate Spike Girl of the year. TK made to top 15 and now she needs your votes to win the title. So I am asking you fashionistas to vote for her by clicking here .

About TK:Teddy is an accomplished cartoonist and artist, even creating her own graphic novel about a woman with superhero-like powers. The character is based on her own life and is a strong, sexy woman who likes to kick ass and save the world. Teddy is originally from Tanzania, Africa. The 28-year-old recently moved to the United States to pursue a career in the entertainment industryt.

Click here to read more about her and to check out her vedio clip and more photos.


Vote for Teddy Kalonga

d389cedcc9e16ec6.jpg


She looks Gorgeuos!! Go vote for her.
wengi wa wadada wanaoenda ulaya,u.s.a na kwingineko ambao hawana kazi maalum ya kufanya hizi ndo kazi zao
 
Back
Top Bottom