NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,281
- 24,072
Kwenye picha hapo karibu nusu ya hao manjagu ni kutoka Lake zone,Lake zone ndo sehemu ya kwanza kabisa kukamatwa Mbowe tangia mama aliposhika madaraka[emoji23]Pale anaposikia chadema wakidai kuwa lazima wafanye kongamano la katiba atake asitake[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1861939
Hii picha inatafsiri nyingi asee.