Picha ya siku

Picha ya siku

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,924
Reaction score
95,728
Pale anaposikia chadema wakidai kuwa lazima wafanye kongamano la katiba atake asitake😁😁😁
AASw8d.jpg
 
Chanjo ya Surua,pepopunda,ndui pamoja na kifua kikuu ni lazima,kwa nini hii isiwe lazima?
Sijawahi pata hizo chanjo hivyo siwezi sema neno.
Ila anavyo sema mwenyekiti nahisi nitapatwa na chanjo.
 
Siyo kweli kwamba hujawahi kupata hizo chanjo.Ficha ujinga!Hujawahi kupata chanjo ya surua?
Hizo chanjo sijawahi labda kwa vile natokea ndichi sana ndo sababu lakini kwetu hakunaga hizo.
 
Kwa Tanzania chanjo ya Surua kwa watoto wadogo ni lazima.

Halafu unaelewa kuwa katika sayansi ya tiba watu fulani wanapopata chanjo na wengine kuachwa huwa inasababisha virus ambao hawajafanyiwa chanjo kufanya mutations kisha kuzalisha virus mpya ambao huwa wana uwezo wa kuresist chanjo ya awali na kufanya waliochanjwa kuambukizwa virus wapya na kusababisha chanjo waliochanjwa awali kuwa functionless?

Ninachomaanisha hapa kitaalam ni kwamba kama watapata chanjo baadhi ya watu na wengine kuachwa basi hiyo chanjo haitafanya kazi.Kitaalam ili chanjo ifanye kazi kama ilivyokusudiwa ni lazima kila mtu achanjwe.
 
Sawa mkuu ngoja tusubiri tuone itakavyo kua kwa Tanzania yetu.
 
Chanjo ya Surua,pepopunda,ndui pamoja na kifua kikuu ni lazima,kwa nini hii isiwe lazima?

Hizi chanjo ni contraversal, bado zina utata mkubwa.---- ni jambo la kuchukua tahadhari kabla ya kupokea chanjo. Taking the jab.
 
chanjo yenyewe watu wanakufa out there halafu iwe lazima vipi vipi
Chanjo iliyokuwa inasumbua kidogo ni Astrazeneca na walishaidhibiti tayari lakini chanjo nyingine kama vile sputnik,moderna na bioNtech hazisumbui.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hizi chanjo ni contraversal, bado zina utata mkubwa.---- ni jambo la kuchukua tahadhari kabla ya kupokea chanjo. Taking the jab.
Chanjo iliyokuwa inasumbua kidogo ni Astrazeneca na walishaidhibiti tayari lakini chanjo nyingine kama vile sputnik,moderna na bioNtech hazisumbui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom