Mambo 5 mwanaume hutakiwi kukosea demu akija geto

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,846
Reaction score
5,092
Mambo 5 mwanaume hutakiwi kukosea demu akija geto

1. Akifika asikae kwenye kochi
Mpeleke moja kwa moja kitandani akae hapo 😁

2. Acha kuwa na story mingi mwenzio anawahi nyumbani 😁

3. Hakikisha kama ni mara ya kwanza kuwa naye lazima uwe na condom geto maana wengine anaweza kugoma mpaka condom na huna inakata stimu kutoka kwenda kutafuta 😁

4. Usipike chakula chochote badala ya mechi atapika yeye kama ni wa kukaa hapo siku nzima

5. Akifika viatu ingiza ndani ondoa ushahidi
👇#SweetPain
1754826153751.jpg
 
Kuna jamaa alijinyakulia muumini mwenzie mpaka geto sasa badala aanze harakati za kutafuna eti tupige magoti tusali kwanza kudadeki
mpaka anasema amina dem hayupo
 
Mambo 5 mwanaume hutakiwi kukosea demu akija geto

1. Akifika asikae kwenye kochi
Mpeleke moja kwa moja kitandani akae hapo 😁

2. Acha kuwa na story mingi mwenzio anawahi nyumbani 😁

3. Hakikisha kama ni mara ya kwanza kuwa naye lazima uwe na condom geto maana wengine anaweza kugoma mpaka condom na huna inakata stimu kutoka kwenda kutafuta 😁

4. Usipike chakula chochote badala ya mechi atapika yeye kama ni wa kukaa hapo siku nzima

5. Akifika viatu ingiza ndani ondoa ushahidi
👇#SweetPainView attachment 3437571
Kwa akili hizi Tz ya viwanda itaishia kujengwa na wahindi tuuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom