Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,970
Ukweni huku, Mama Mkwe anaandaa msosi
Najivunia kuwa msambaa kutoka TangaUkweni huku, Mama Mkwe anaandaa msosi View attachment 925864
Kweli ChiefUkweni huku, Mama Mkwe anaandaa msosi View attachment 925864
Hahahahah kweli tupuKweli Chief
Kuna Duka lipo Barabara ya 6 kwa Barabara ya Jamaa,
limeandikwa
TANGA ULAYA
Utakua shemeji yangu wewe KumbeNajivunia kuwa msambaa kutoka Tanga
😂😂😂😂😃 kwaniniUtakua shemeji yangu wewe Kumbe
Nimeoa hukokwanini
Mpwa usilete Siasa basi huku nako. Hii ni Mlalo Lushoto Tanga, utakuta saaaana SanaNitakuwa wa mwisho kuamini kama hiyo ni kweli Afrika, Tanzania!
Oh.sawaNimeoa huko
bila hata kapicha mkuuKweli Chief
Kuna Duka lipo Barabara ya 6 kwa Barabara ya Jamaa,
limeandikwa
TANGA ULAYA
Wewe sio mnyakyusa?Najivunia kuwa msambaa kutoka Tanga
akhaaaaa..mm msambaaWewe sio mnyakyusa?
akhaaaaa..mm msambaa
Hahahaha.umefananisha jina auAisee basi Nakufananisha