Picha ya Siku: Jasusi la Mbinguni

Picha ya Siku: Jasusi la Mbinguni

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
2,882
Reaction score
7,916
jasusi la mbinguni.PNG

Ipe caption​
 
Kuna ile video mtu yule anafanana na yule, akionekana akifanya mambo yale na bichwa lile lile!

Hivi huyu mwamba yuko wapi siku hizi amekuwa digidigi hasa baada ya kujilipua na stori flani amazing, hakuna episode two tena, au Ile ilikuwa grand finale? ukweli alijenga hoja vizuri kila mtu mwenye akili nzuri ilimtouch sana but labda ilipasa akayaseme hayo huko kwenye vikao vyao vya kusutana kwa kufuata utamaduni wao wa kupeana maiki unayopaswa kuiogopa kama ukoma!!!

Kitu muhimu ambacho wana jf great thinkers tulipaswa kumuuliza mwamba au kujua ni je ninini motive yake behind the press release, yaani kilichomsukuma kusema yale, na nini hasa alichotarajia kupata, sababu kiasili entrepreneurs hufanya vitu kwa hesabu kali , je ni kutafuta kiki ya kurudi bungeni kwa Betina baada ya kutotimiza ahadi zake, au je ana nia kubwa zaidi ya kugombea urais kwa kuwa agenda aliyoongea ni ya kitaifa na si ya kugusa wana kawe pekee.

Mama Samia anastahili miaka mitano tena ili amalizie ujenzi wa SGR ifike Mwanza na Kigoma na kutupa heshma Africa na Duniani kote. Huu mradi pekee ndio Legacy yake mashule, hospital na barabara kila Rais kajenga!!

Muda utaongea!!
 
Back
Top Bottom