Picha ya Mwaka...

Picha ya Mwaka...

Mimi kilicho nivutia zaidi ni kuwa jama wanatumia computer za aina moja tu za IBM
 
hahahah! mnataka kusema jamaa hajarest in peace? Mashetani wekundu juzi wamekuwa Blue!
 
duuuh kweli ni mkareeee yani nayeye anajiangalia anavyochakachuliwa?
 
Duuuh!!!!anakatabasamu kakizushi:majani7:
 
obama anaonekana mnyonge sana. Alijua jamaa yake yupo nyuma yao nini?
 
hahahahhahaahah lol
dahhhh kwa kweli ...
na ndevu, mavazi vile vile mmhh
 
Osama ni wa ukwee...alikuwa anawacheki tu pale jinc wanavyofoji mambo....hahahaaaaaa,umeona eh?ndo mana waliutupa mwili wa osama feki baharini coz walifreeze baada ya kukutana na THE REAL OSAMA KWENYE MAZISHI!....hahahaaaaa...na bado,acha alipue white house ndo watakoma...but hiv huyu kiumbe kafa kweli?mi bado haijaniingia akilini...:A S 100:
 
pole dada, hata wewe angekunyonya damu tu wala asingejali kifua chako hicho.
 
Back
Top Bottom