Picha ya Mwaka...

Picha ya Mwaka...

Mkare hebu tutumie picha ya mwezi.
 
Naamini enzi za kuamini ushahidi wa picha mahakamani zimekwisha!
 
hapa walikuwa wanaangali mechi ya Man U na Barcelona, michezo huunganisha watu wa mataifa mbalimbali bila kujali dini, tabaka au rangi!

Na wewe, kukumbushana tu machungu... Hya bana
 
may be true he was there too
Conquest-kuku wako manati ya nini
 
sasa usama pale nyuma anafanya nini jamani? huyu mpigania haki za waislam mbona hivyo tena...nilijua amekufa kumbe jini...majini wanayofuga?
 
Back
Top Bottom