binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,103
- 34,381
Dah đź’”Rostam alimtembelea ikulu Rais JPM nov 2018,
Bashe akateuliwa kwa mara ya kwanza kuwa naibu waziri july 2019.
Unganisha vidoti vidoti hivyo utapata mstari.
Dah đź’”Rostam alimtembelea ikulu Rais JPM nov 2018,
Bashe akateuliwa kwa mara ya kwanza kuwa naibu waziri july 2019.
Unganisha vidoti vidoti hivyo utapata mstari.
Vipi tena?Makubwa
Ukimuona Bashe umemuona Rostam
Kalelewa na Rost hadi alikuwa mkurugenzi mtendaji kwenye magazeti ya Rost pale sinza kijiweni
Haya ndiyo majangili tupu ya mali za ummaHuku mitandaoni kunza watu wana hasira nao sana. Ila Dkt Gwajima, anavyopendwa
Kwa kweli...
yaani waafrika bwanaEdward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa.
Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja.
Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam Aziz maslahi yao kisiasa ni mamoja?
Tundu Lissu kwenye hizi connection hayumo?
View attachment 3460986
Inaonekana alikuwa upande wa Lowassa,Duu! Sasa lipi ni lipi! Jk , El, Ra ni group moja , na huwa ugomvi wao ni wa kimkakati
CHADEMA hawajawahi kuua mtu bali wao ndiyo wanauawa kila siku. Na wasiopenda kukosolewa ni CCM na siyo CHADEMA.ni machadema ya sasa tu yana chuki kupita maelezo,yanaweza ua mtu sababu tu kahama chama au ana wazo tofauti na wao
chadema ya sasa inanyanyasa chadema wenzao wa zamaniCHADEMA hawajawahi kuua mtu bali wao ndiyo wanauawa kila siku. Na wasiopenda kukosolewa ni CCM na siyo CHADEMA.
Wakati CHADEMA inamwita Edward Lowassa fisadi ilikuwa CHADEMA ya Sasa au ya zamani?
Chuki yenu kwa CHADEMA "ya Sasa" inajengwa juu ya hoja gani..? Maana malipizi yamekuwa mengi kuliko uhalisia.
Hiyo aya ya 2 kutoka mwisho, wenye chuki kiasi cha kuweza kuua mtu kwasababu ya siasa ni Chadema au CCM? Hadi sasa CCM imeshaua Wanachadema kibao kwasababu ya siasa. Hapo umeongea vice versa.yaani waafrika bwana
too emotional and immature motherfvckers
ni waafrika masikini tu ndio wanadhani siasa ni blood sport and killing others and a hate factory
kuna siasa halafu kuna wanadamu,they are all people,they talk and strategize apart from their political affiliations
ni machadema ya sasa tu yana chuki kupita maelezo,yanaweza ua mtu sababu tu kahama chama au ana wazo tofauti na wao
what a stupid way of doing politics
Mmmmh James Mbowe umechafukwa kweli kweli.chadema ya sasa inanyanyasa chadema wenzao wa zamani
ushahidi ni G55
kwanini mnawanyanyasa waliohudumu zamani kana kwamba wao ni outcasts?
kwanini mnamtukana mbowe alie wahudumia kwa miaka yote 21?
yes ni lazima awe na makosa yake hawezi kua mkamilifu kama nyie wengine wote,ila kuna haja gani ya kumtukana yeye na wafuasi wake?
wakati wote ni chadema il ile na mpo hapo kusaidiana?
kwanini mwenye wazo tofauti anatukanwa na kufukuzwa chama as if kafanya uhaini?
chadema mnanyanyaswa na maccm na kuuawa na maccm,ila na nyie mnaonea wadogo zaidi yenu hamna tofauti na maccm
there are levels to this,nyie ni bullies stage 2,maccm ni bullies stage 1....hamna uhalali wowote wa kujifanya eti nyie ni wema,far from it!
Pole sana. Miaka ile aliwahi kuwa mkurugenzi nafikiri wa magazeti ya Lowasa. Huyu ni team Lowasa kindaki ndaki
chadema mnanyanyasa chadema waliohudumu zamaniHiyo aya ya 2 kutoka mwisho, wenye chuki kiasi cha kuweza kuua mtu kwasababu ya siasa ni Chadema au CCM? Hadi sasa CCM imeshaua Wanachadema kibao kwasababu ya siasa. Hapo umeongea vice versa.
Hii hoja ya CHADEMA ni hizo tuhuma zako zinatokana na nini? Kwenye bandiko langu ulilolinukuu wapi nimetaja mambo ya CHADEMA na nimesema jambo gani la kuashiria kumnyanyasa mtu?chadema ya sasa inanyanyasa chadema wenzao wa zamani
ushahidi ni G55
kwanini mnawanyanyasa waliohudumu zamani kana kwamba wao ni outcasts?
kwanini mnamtukana mbowe alie wahudumia kwa miaka yote 21?
yes ni lazima awe na makosa yake hawezi kua mkamilifu kama nyie wengine wote,ila kuna haja gani ya kumtukana yeye na wafuasi wake?
wakati wote ni chadema il ile na mpo hapo kusaidiana?
kwanini mwenye wazo tofauti anatukanwa na kufukuzwa chama as if kafanya uhaini?
chadema mnanyanyaswa na maccm na kuuawa na maccm,ila na nyie mnaonea wadogo zaidi yenu hamna tofauti na maccm
there are levels to this,nyie ni bullies stage 2,maccm ni bullies stage 1....hamna uhalali wowote wa kujifanya eti nyie ni wema,far from it!
really?Mmmmh James Mbowe umechafukwa kweli kweli.
Hili unalolirudiarudia la kuua msingi wake ni upi? Maana sioni kama hili bandiko lina kiashiria chochote kile cha kutamani kuua!chadema mnanyanyasa chadema waliohudumu zamani
kuua mngekuta mshaua sema tu hamna dola ya kuua
hamna tofauti na maccm tofauti ni kua tu hamjashika dola
Bora hii Chadema ya sasa hivi kuliko nyie Chadema ya zamani inayotumika kama mashahidi wa siri kwenye kesi feki ya uhaini. Kumbe mlikuwa wapinzani wanafiki!chadema mnanyanyasa chadema waliohudumu zamani
kuua mngekuta mshaua sema tu hamna dola ya kuua
hamna tofauti na maccm tofauti ni kua tu hamjashika dola