Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,385
- 34,369
Na Paulo MakondaIla Bashe! Uwezo wake wa kubadili gia angani ni mkubwa sana. Yeye na Msukuma Kasheku.
Na Paulo MakondaIla Bashe! Uwezo wake wa kubadili gia angani ni mkubwa sana. Yeye na Msukuma Kasheku.
Kigwangala jeuri ili kuwa kubwa, hajui kufunga mdomo.Tabora akina Hamis Kigwangala- nzega na Seifu Gulamali - Igunga kwanini wametoswa? Je, sio vijana wa mtandao? Au wao ni sukuma gang team Magufuli?
Aliyemchomesha Lissu. Dj Mbowe.Hivi ni nani ?? Mi sjamuelewa kabisa
Mkuu bado tunampenda na kumuona Pascal Mayalla akiishi tuendelee kujifunza kutoka kwake.Mkuu Pascal unaonaje ukitupa version yako ya ukweli kuhusu kifo cha Magufuli, tofauti na uongo wa Polepole kama ulivyosema.
Gazeti la Rai ( nguvu ya hoja ) lilitumika kumpeleka Jakaya ikulu kwa kuwachafua wagombea wengine kwa kashfa mbalimbali ( salvation rweyemamu ) aliongoza mapambano.
Dj Mbowe ambaye anatambulika kama mwamba wa kuvusha watu. Ni lipi baya alilowatendea kiasi cha kumsulubu kiasi hicho ?Aliyemchomesha Lissu. Dj Mbowe.
Rweyemamu...sio yule alie wahi kuwa mkuu wa wilaya...nahisi he is at peace ⚰️⚰️🪦🪦Gazeti la Rai ( nguvu ya hoja ) lilitumika kumpeleka Jakaya ikulu kwa kuwachafua wagombea wengine kwa kashfa mbalimbali ( salvation rweyemamu ) aliongoza mapambano.
Bashe alikuja kuwa CEO wa HC
Salva rweymamamu ni mwandani wa Jakaya. Baada ya wanamtandao kukamata ikulu. Salva aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa mawasiliano IKULU.Rweyemamu...sio yule alie wahi kuwa mkuu wa wilaya...nahisi he is at peace ⚰️⚰️🪦🪦
Humjui lisu na harakati zake. Wewe ulianza kufuàtilia siasa na mambo enzi za Magufuli.Lisu alitumika kama kondomu na genge la mtandao kumshambulia Magufuli.
Sasa wamemtupa
Kutoka kuwa gaidi hadi kusimama nyuma ya mama namna hiyo unafikiri hawajuani?Dj Mbowe ambaye anatambulika kama mwamba wa kuvusha watu. Ni lipi baya alilowatendea kiasi cha kumsulubu kiasi hicho ?
Polepole mwaka huu atawatoa nyongo... Maana kila anayejibu anapewa majibu yake anatulia... Sijui Albert Msando aliishia wapi😃😆
Hiyo picha umeitoa wapi ?Kutoka kuwa gaidi hadi kusimama nyuma ya mama namna hiyo unafikiri hawajuani?
Ukimuona Bashe umemuona Rostam
Nahdani watu waliunganisha picha ya Mbowe na ya Mheshimiwa Rais. Lakini wote walikuwa kwenye tukio Moja la uzinduzi wa DIra 2050 lakini sidhani kama walipiga picha ya pamoja.Hiyo picha umeitoa wapi ?
Lilikuwa tukio linalohusu nini ?
Hawaoni kwa kutumia picha za kutengenezwa wanajiweka kwenye kundi la wahuni anaowapigia kelele polepoleNahdani watu waliunganisha picha ya Mbowe na ya Mheshimiwa Rais. Lakini wote walikuwa kwenye tukio Moja la uzinduzi wa DIra 2050 lakini sidhani kama walipiga picha ya pamoja.
Yes... Yes ni uhuni.Hawaoni kwa kutumia picha za kutengenezwa wanajiweka kwenye kundi la wahuni anaowapigia kelele polepole
hilo umeongezea wewe.Kuongoza nchi wanafaa watu aina ya Salum Mwalimu au Samia Suluhu siyo?
Hio picha ni halisi mbowe alitwa na Samia na Kupata hio room ya Kupiga nae pichaNahdani watu waliunganisha picha ya Mbowe na ya Mheshimiwa Rais. Lakini wote walikuwa kwenye tukio Moja la uzinduzi wa DIra 2050 lakini sidhani kama walipiga picha ya pamoja.