Picha ya Marafiki wa Lowassa

Picha ya Marafiki wa Lowassa

Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa.

Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja.

Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam Aziz maslahi yao kisiasa ni mamoja?

Tundu Lissu kwenye hizi connection hayumo?

View attachment 3460986
yaani waafrika bwana

too emotional and immature motherfvckers

ni waafrika masikini tu ndio wanadhani siasa ni blood sport and killing others and a hate factory

kuna siasa halafu kuna wanadamu,they are all people,they talk and strategize apart from their political affiliations

ni machadema ya sasa tu yana chuki kupita maelezo,yanaweza ua mtu sababu tu kahama chama au ana wazo tofauti na wao

what a stupid way of doing politics
 
Duu! Sasa lipi ni lipi! Jk , El, Ra ni group moja , na huwa ugomvi wao ni wa kimkakati
Inaonekana alikuwa upande wa Lowassa,
Lowassa Rostam waliporudi ccm na baadhi ya watu wao kupewa nyadhifa, na Lowassa sasa hayupo inabidi waendelee kuwa kwa Mwanamtandao mwenzao waliyekwisha kupatana
 
ni machadema ya sasa tu yana chuki kupita maelezo,yanaweza ua mtu sababu tu kahama chama au ana wazo tofauti na wao
CHADEMA hawajawahi kuua mtu bali wao ndiyo wanauawa kila siku. Na wasiopenda kukosolewa ni CCM na siyo CHADEMA.

Wakati CHADEMA inamwita Edward Lowassa fisadi ilikuwa CHADEMA ya Sasa au ya zamani?

Chuki yenu kwa CHADEMA "ya Sasa" inajengwa juu ya hoja gani..? Maana malipizi yamekuwa mengi kuliko uhalisia.
 
chadema ya sasa inanyanyasa chadema wenzao wa zamani

ushahidi ni G55

kwanini mnawanyanyasa waliohudumu zamani kana kwamba wao ni outcasts?

kwanini mnamtukana mbowe alie wahudumia kwa miaka yote 21?

yes ni lazima awe na makosa yake hawezi kua mkamilifu kama nyie wengine wote,ila kuna haja gani ya kumtukana yeye na wafuasi wake?

wakati wote ni chadema il ile na mpo hapo kusaidiana?

kwanini mwenye wazo tofauti anatukanwa na kufukuzwa chama as if kafanya uhaini?

chadema mnanyanyaswa na maccm na kuuawa na maccm,ila na nyie mnaonea wadogo zaidi yenu hamna tofauti na maccm

there are levels to this,nyie ni bullies stage 2,maccm ni bullies stage 1....hamna uhalali wowote wa kujifanya eti nyie ni wema,far from it!
 
yaani waafrika bwana

too emotional and immature motherfvckers

ni waafrika masikini tu ndio wanadhani siasa ni blood sport and killing others and a hate factory

kuna siasa halafu kuna wanadamu,they are all people,they talk and strategize apart from their political affiliations

ni machadema ya sasa tu yana chuki kupita maelezo,yanaweza ua mtu sababu tu kahama chama au ana wazo tofauti na wao

what a stupid way of doing politics
Hiyo aya ya 2 kutoka mwisho, wenye chuki kiasi cha kuweza kuua mtu kwasababu ya siasa ni Chadema au CCM? Hadi sasa CCM imeshaua Wanachadema kibao kwasababu ya siasa. Hapo umeongea vice versa.
 
chadema ya sasa inanyanyasa chadema wenzao wa zamani

ushahidi ni G55

kwanini mnawanyanyasa waliohudumu zamani kana kwamba wao ni outcasts?

kwanini mnamtukana mbowe alie wahudumia kwa miaka yote 21?

yes ni lazima awe na makosa yake hawezi kua mkamilifu kama nyie wengine wote,ila kuna haja gani ya kumtukana yeye na wafuasi wake?

wakati wote ni chadema il ile na mpo hapo kusaidiana?

kwanini mwenye wazo tofauti anatukanwa na kufukuzwa chama as if kafanya uhaini?

chadema mnanyanyaswa na maccm na kuuawa na maccm,ila na nyie mnaonea wadogo zaidi yenu hamna tofauti na maccm

there are levels to this,nyie ni bullies stage 2,maccm ni bullies stage 1....hamna uhalali wowote wa kujifanya eti nyie ni wema,far from it!
Mmmmh James Mbowe umechafukwa kweli kweli.
 
Sikuwahi kujua kumbe Bashe ni mwanamtandao!

Zitto sina shaka nae kwa mujibu wa Polepole
Pole sana. Miaka ile aliwahi kuwa mkurugenzi nafikiri wa magazeti ya Lowasa. Huyu ni team Lowasa kindaki ndaki
 
Hiyo aya ya 2 kutoka mwisho, wenye chuki kiasi cha kuweza kuua mtu kwasababu ya siasa ni Chadema au CCM? Hadi sasa CCM imeshaua Wanachadema kibao kwasababu ya siasa. Hapo umeongea vice versa.
chadema mnanyanyasa chadema waliohudumu zamani

kuua mngekuta mshaua sema tu hamna dola ya kuua

hamna tofauti na maccm tofauti ni kua tu hamjashika dola
 
chadema ya sasa inanyanyasa chadema wenzao wa zamani

ushahidi ni G55

kwanini mnawanyanyasa waliohudumu zamani kana kwamba wao ni outcasts?

kwanini mnamtukana mbowe alie wahudumia kwa miaka yote 21?

yes ni lazima awe na makosa yake hawezi kua mkamilifu kama nyie wengine wote,ila kuna haja gani ya kumtukana yeye na wafuasi wake?

wakati wote ni chadema il ile na mpo hapo kusaidiana?

kwanini mwenye wazo tofauti anatukanwa na kufukuzwa chama as if kafanya uhaini?

chadema mnanyanyaswa na maccm na kuuawa na maccm,ila na nyie mnaonea wadogo zaidi yenu hamna tofauti na maccm

there are levels to this,nyie ni bullies stage 2,maccm ni bullies stage 1....hamna uhalali wowote wa kujifanya eti nyie ni wema,far from it!
Hii hoja ya CHADEMA ni hizo tuhuma zako zinatokana na nini? Kwenye bandiko langu ulilolinukuu wapi nimetaja mambo ya CHADEMA na nimesema jambo gani la kuashiria kumnyanyasa mtu?
 
Mmmmh James Mbowe umechafukwa kweli kweli.
really?

alieona unanyanyasaji wenu ni james mbowe tu?

mimi ni james mbowe?

uganga umeanza lini?

waliohamia ACT wazalendo,waliohamia Chaumma wote hao ni james mbowe tu?

acheni kukimbia kivuli chenu wenyewe!

hii ni blunder mmefanya,own it,rectify and move forward acha kutoa majina kwa watu online!
 
chadema mnanyanyasa chadema waliohudumu zamani

kuua mngekuta mshaua sema tu hamna dola ya kuua

hamna tofauti na maccm tofauti ni kua tu hamjashika dola
Hili unalolirudiarudia la kuua msingi wake ni upi? Maana sioni kama hili bandiko lina kiashiria chochote kile cha kutamani kuua!

Kwa nini mawazo yako umeyapeleka kuwa CHADEMA inataka kuwaua waliokuwa viongozi wake wa zamani?
 
chadema mnanyanyasa chadema waliohudumu zamani

kuua mngekuta mshaua sema tu hamna dola ya kuua

hamna tofauti na maccm tofauti ni kua tu hamjashika dola
Bora hii Chadema ya sasa hivi kuliko nyie Chadema ya zamani inayotumika kama mashahidi wa siri kwenye kesi feki ya uhaini. Kumbe mlikuwa wapinzani wanafiki!
 
Back
Top Bottom