Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,798
- 22,129
"Mwaka 1995 siku moja asubuhi nikapokea ugeni mtoto akaja chumbani kuniambia baba kuna ugeni nikawakuta marafiki zangu watatu, Samwel Sitta, Edward Lowassa na Rostam Aziz, wakaja kuniambia kwamba tunataka muende na Edward Dodoma mkachukue fomu ya kugombea urais mimi nikasema jambo hilo halipo kwenye mawazo yangu, kama yeye lipo kwenye mawazo basi aende, naye akasema siendi bila ya wewe,"- @jmkikweteukiona mtu anatabasamu kwenye kuzika ujue ni psychopath au kwa tafsiri nyingine anafurahia, angalia picha ...
Hapo hatari zaidi ni MBOWE, nafuu ROSTAM anajulikana ngozi yake ni ya rangi gani....ogopa sana Mnafiki🤣🤣🤣Rostam 🙌🙌
Mmmmmh Umesahau mwaka fulani aliwahi kumwakia Kikwete kwenye post fulani kuhusu Lowassa?
Sijui iliwezekana vipi mpaka kupenya mpaka serikani !!Bashe alikuwa mfanyakazi wa Rostam pale Habari house Sinza 😄😄
Duu! Sasa lipi ni lipi! Jk , El, Ra ni group moja , na huwa ugomvi wao ni wa kimkakatiMmmmmh Umesahau mwaka fulani aliwahi kumwakia Kikwete kwenye post fulani kuhusu Lowassa?
Wee na nyege mshindo zako unamjua huyo Angel.Halafu wanamsingizia Anjela 🐼
Duuh
Aiseee!Ulichelewa sana kufaham hili mkuu, huyu ni mwanamtandao mahiri sana na alipendwa sana na lowasa ndio nguvu ya Jk ikatumika kuigawa nzega iwe na majimbo mawili kwaajili ya kumzawadia bashe
Hivi kule kukatwa kwa lowasa na kule kujiuzulu kweli ilikuwa serious kwa kikwete au ilikua ni mkakati tu?Bashe tena huyo ndo alikuwa mtu wa Lowasa kindaki ndaki na emanuel nchimbi,sophia simba etc,kuna kipindi bashe alikosana na kikwete akilaumu amemfehedhesha lowasa😆
Waziwazi alikuwa team hii, baada ya Magu kuteuliwa akajipenyeza hadi kufika kwenye uwaziri.
Binafsi nilifikiri Magu analijua hili na angemweka mbali…
Hii issue ya rweyemamu niliwahi kuisikia, hawa jamaa wa mtandao si wa jana wala juzi aisee!Gazeti la Rai ( nguvu ya hoja ) lilitumika kumpeleka Jakaya ikulu kwa kuwachafua wagombea wengine kwa kashfa mbalimbali ( salvation rweyemamu ) aliongoza mapambano.
Bashe alikuja kuwa CEO wa HC
Kumbe kulikuwa na shada la marafiki wa marehemu!Kwahiyo baada ya hii picha ndio umejua sasa!
Ilikuwa serious,Hivi kule kukatwa kwa lowasa na kule kujiuzulu kweli ilikuwa serious kwa kikwete au ilikua ni mkakati tu?
Nadharia njama (conspiracies theories) zipo nyingi sana kuhusu kundi hili... Lakini kwa mtazamo wangu nathani kiunganishi hapo cha hao watu (Gravity force) ni Rostam Azizi.Ilikuwa serious,
Kwa jinsi Lowassa alivyokuwa amejipanga kuutwaa Urais.
Hakuwa anatania.
Pole pole alisema wale hawagombani, ukiona ugomvi au kiashiria chochote cha kugombana ujue ndio wakati wapo close sanaNadharia njama (conspiracies theories) zipo nyingi sana kuhusu kundi hili... Lakini kwa mtazamo wangu nathani kiunganishi hapo cha hao watu (Gravity force) ni Rostam Azizi.
Nadhani yeye ndiye anaweza kukaa na kila mmoja wa kwenye kundi lao hata kama wenyewe kwa wenyewe wamegombana!
Wewe ndio humjui 🐼Wee na nyege mshindo zako unamjua huyo Angel.
Napata shaka kidogo maana Jk alikua ana maliza isingekuwa hatari kwake kumuachia kiti , labda kwenye chama.Ilikuwa serious,
Kwa jinsi Lowassa alivyokuwa amejipanga kuutwaa Urais.
Hakuwa anatania.