Picha ya Marafiki wa Lowassa

Picha ya Marafiki wa Lowassa

Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa.

Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja.

Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam Aziz maslahi yao kisiasa ni mamoja?

Tundu Lissu kwenye hizi connection hayumo?

View attachment 3460986
Lissu alishajeruhiwa kumoyo kila mtu anaona ni adui yake na mtu wa namna hyo hawezi kuongoza nchi..bali anapaswa kutumiwa kuibua maovu...Ukweli mchungu.
 
LOwassa alikuwa na marafiki, wafuasi na wapambe( Kwa sasa tunaita machawa) wengi sana.

Ndio maana mara baada ya uchaguzi 2010, kila mtu mfuatilia siasa aliamini Lowassa ndie Rais ajaye.

Mwandishi nguli hapa JF nae alikuwa mpambe wake, kama Lucas tuu.
 
Kabisa... Ila ingawa Pascal Mayalla anasema Polepole hasemi yote, aliyokwisha kusema tayari yanaleta maana...
Ni kweli kabisa Polepole anajua mengi, hasemi yote kwasababu mengine yana kinga ya kiapo chake, ila kuna mengine ukweli anaujua, ila anapotosha kwa makusudi kwa ku sensationalize to create tension tuu, mfano mzuri ni kifo cha Magufuli, Polepole anajua kila kitu, A-Z, chanzo cha kifo, sababu za kifo, kilitokea lini, kilichomua ni nini, lakini ameamua kupotosha kwa kutaka kujenga hisia, ameuliwa na wahuni wa mtandao wa hatari, kitu ambacho sio kweli!
P
 
kufanya hivi yeye anafaidika na nini ?

Ulichelewa sana kufaham hili mkuu, huyu ni mwanamtandao mahiri sana na alipendwa sana na lowasa ndio nguvu ya Jk ikatumika kuigawa nzega iwe na majimbo mawili kwaajili ya kumzawadia bashe
Sema kumzawadia kingwangala,yaani baada ya mgawanyiko wa lowasa na jk,kingwangala alikua upande wa jk na bashe upande wa Lowasa
Bashe alikuwa na nguvu kuliko hamiskingwangala,hivyo jk aliona kijana wake atakosa jimbo akaligawa😆
 
kifo cha Magufuli, Polepole anajua kila kitu, A-Z, chanzo cha kifo, sababu za kifo, kilitokea lini, kilichomua ni nini, lakini ameamua kupotosha kwa kutaka kujenga hisia, ameuliwa na wahuni wa mtandao wa hatari, kitu ambacho sio kweli!
Mkuu Pascal unaonaje ukitupa version yako ya ukweli kuhusu kifo cha Magufuli, tofauti na uongo wa Polepole kama ulivyosema.
 
Na kama pia ana Ithibati ya huo ukweli wake... Na Polepole naye kwa maelezo yako anaonesha alikuwa nje ya mfumo wakati wa mtiririko wa kifo cha Magufuli.
 
Sema kumzawadia kingwangala,yaani baada ya mgawanyiko wa lowasa na jk,kingwangala alikua upande wa jk na bashe upande wa Lowasa
Bashe alikuwa na nguvu kuliko hamiskingwangala,hivyo jk aliona kijana wake atakosa jimbo akaligawa😆
Tabora akina Hamis Kigwangala- nzega na Seifu Gulamali - Igunga kwanini wametoswa? Je, sio vijana wa mtandao? Au wao ni sukuma gang team Magufuli?
 
Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa.

Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja.

Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam Aziz maslahi yao kisiasa ni mamoja?

Tundu Lissu kwenye hizi connection hayumo?

View attachment 3460986
Kapuku kama Lissu HAWEZI kukubalika hapo! Watu Wana fweza yeye analeta mdomomdomo!!
 
Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa.

Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja.

Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam Aziz maslahi yao kisiasa ni mamoja?

Tundu Lissu kwenye hizi connection hayumo?

View attachment 3460986
Tundu lissu alikuwa campaign manager wa lowasa in 2015
 
Ulichelewa sana kufaham hili mkuu, huyu ni mwanamtandao mahiri sana na alipendwa sana na lowasa ndio nguvu ya Jk ikatumika kuigawa nzega iwe na majimbo mawili kwaajili ya kumzawadia bashe
Wewe mzee ndio una jua Sana, kigwangala jeuri ili kuwa kubwa aki dhani ana kinga ya milele.

Kumbe kina ra wana mlia timing tu.
 
1000055540.jpg
 
Back
Top Bottom