Picha ya Marafiki niliyoipenda

Picha ya Marafiki niliyoipenda

Huyu dogo si ndiyo alitutukana Wabongo kwenye ile video? Eti wenyewe ndo wanamiliki Tanzania. Dhambi hiyo itaendelea kumtafuna yeye na kizazi chake chote!
 
Huyo babu anavyopenda kutafuta marafiki Kila siku utadhani ndo kabalehe jana tu......
Ndio maana sahivi kapata jina la Baba swalehe. Wimbo uliowimbwa na nikkiwapili ambao hakika

Kila kitu kilichoko kwenye wimbo huo kinaendana nae!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom