Picha ya Marafiki niliyoipenda

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,319
72,742
Hapa ni babu na mjukuu wake ambao ni marafiki.
Le mutuz vs Khalifan JK.
Imetulia haswa.
 

Attachments

  • 1453385144783.jpg
    1453385144783.jpg
    30 KB · Views: 82
Umri sawa tu hao, baba zao walikuwa wanafanyakazi pamoja
 
Huyo babu anavyopenda kutafuta marafiki Kila siku utadhani ndo kabalehe jana tu......
 
teh teh...Tycoon Le mutuz aka Akili kubwa mbona kama kapungua..Au ndo mambo ya Gym
 
Huyu Jamaa Ni Hopeless Japo Anaimudu Hopeless Life.He Is An Hopeless Man 100% But He Knows How 2 Play With The Hopeless Life
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom