Dah hata mimi nilikula sana mihogo ya kuchemsha na kachumbari primary nilipofika sekondari nkahamia mihogo ya kukaanga na mbilimbi acha kabisa....Hii picha inanikumbusha Enzi za primary school hapo break ya saa nne!!!!
Leta helaaa
Tena kuna ile kama ina unga unga hivi laini sana
Enzi hizo pale nje ya ukuta wa Azania Secondary kulikua na mtaalam akiitwa Mpingo. Mzigo kama huo ukikua haupungui mida ya break saa nne. Hapo unashushia na juice ya ukwaju au machungwa. Sijui tangu vibanda vyao viondolewe Mpingo yupo wapi siku hizi?
Hiyp ndo picha ya leo kweli????????????????????????Inakukumbusha nin ?