Picha ya leo ufalme na umalkia usiokoma

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
article-2154027-136E1728000005DC-258_964x643.jpg
 
Malkia Elizabeti wa Uk na full familia yake kwenye sherehe wiki hii pale kwenye makao makuu yao yalipohamishiwa kwa muda kusherehekea pale Chelsea.
Candid Scope sasa mbona naona vibibi viwili hapo, sasa Malkia ni yupi, au wako mapacha?
 
Last edited by a moderator:
Watawala wa Tanganyika.

Kundi lote la Royal ni kama mawaziri wasio na wizara maalum wakila kodi za wananchi bila jasho. Tungefanya hivyo waafrika wangetutolea macho pee, lakini kwa kuwa ni wao hayo ni ruksa.
 
Kundi lote la Royal ni kama mawaziri wasio na wizara maalum wakila kodi za wananchi bila jasho. Tungefanya hivyo waafrika wangetutolea macho pee, lakini kwa kuwa ni wao hayo ni ruksa.

Mbona Uganda wapo na wana fedha yao kutoka kwenye bajeti wanapewa.

[h=1]Ugandan king turns 18, takes full control[/h]
1px.gif

April 18, 2010|By Faith Karimi, CNN
pixel.gif

  • story.uganda.king.jpg

One of Uganda's last remaining kings turned 18 in a boisterous four-day ceremony that ended Sunday and allowed him to take full control of his kingdom in the western part of the country.
King Oyo is among the world's youngest reigning monarchs. He ascended to the throne at age 3 after his father died in 1995.
As a minor, kingdom officials had appointed a board of advisers to help him rule.
The board was disbanded to mark his birthday, which means the teen can now make major kingdom decisions on his own without consulting with his advisers.

pixel.gif
Soma zaidi: Ugandan king turns 18, takes full control - CNN
 
Yeah! Zinduna. Pale yupo Elizabeti na mumewe, mtoto wa kwanza wa Elizabeth na mke wake, Mjukuu wa Kwanza wa Elizabeth aliyefung ndoa mwakajana na mke wake na mjukuu wa Elizabeth ambaye hajaoa bado.

Kumbe malkia ana MUME? mbona haitwi MFALME sasa? waenglish na mambo yao ya kizamani bhana duh??
 
Kumbe malkia ana MUME? mbona haitwi MFALME sasa? waenglish na mambo yao ya kizamani bhana duh??

Kapewa Duke of Edinburg, huyu baba hana asili ya kibritish yeye ni mzamiaji na pia hana any royal connection zaidi ya marriage. Watoto wake ndio wanayo hiyo haki maana wanadamu ya kifalme lakini sio yeye.
 
Huyu hatarithi utawala kwa kosa la kumuowa huyo Camila.

Watamruka na kumpa utawala mtoto wake William.

Hiyo ndiyo gharama ya kuowa asiye chaguo la Malkia....
Mwingine ni mke wa mtoto wake atakayeridhi ufalme toka umalkia wake. Huyo ni yule aliyeleta mizengwe hadi kuachana ndoa ya Diana.
 
Yeah! Zinduna. Pale yupo Elizabeti na mumewe, mtoto wa kwanza wa Elizabeth na mke wake, Mjukuu wa Kwanza wa Elizabeth aliyefung ndoa mwakajana na mke wake na mjukuu wa Elizabeth ambaye hajaoa bado.

Hivi mume wa elizabeth yupo hai? mbona havumi kama mkewe na watoto?
 
Back
Top Bottom