Picha ya leo ufalme na umalkia usiokoma

Kapewa Duke of Edinburg, huyu baba hana asili ya kibritish yeye ni mzamiaji na pia hana any royal connection zaidi ya marriage. Watoto wake ndio wanayo hiyo haki maana wanadamu ya kifalme lakini sio yeye.

Malkia alimdakia wapi mzamiaji? That is where the fairness of life comes in....
 
article-2154027-136E1728000005DC-258_964x643.jpg

Hivi watoto wote wa Price Charles ni maaskari? That far left boy really look very tough
 
Hivi watoto wote wa Price Charles ni maaskari? That far left boy really look very tough


Hayo ni mavazi ya maprince ndugu, I am not sure about Harry but William has taken some military training.
 
Katiba mpya Zanzibar constitutional monachy sultan head of state. We must have sense of history like Brits.
 
Kundi lote la Royal ni kama mawaziri wasio na wizara maalum wakila kodi za wananchi bila jasho. Tungefanya hivyo waafrika wangetutolea macho pee, lakini kwa kuwa ni wao hayo ni ruksa.

Hawa hawana tofauti na marais na mawaziri wakuu wetu wastaafu; wanakula kodi za wavuja jasho bila tija!!
 
article-2154027-136E1728000005DC-258_964x643.jpg


we called absolute monarch

[h=1]Monarch[/h]
A monarch is the person who leads a monarchy. This is a form of government in which a state orpolity is ruled or controlled by an individual who typically inherits the throne by birth and rules forlife or until abdication. Monarchs may be autocrats (absolute monarchy) or ceremonial heads of state who exercise little or no power or only reserve power, with actual authority vested in aparliament or other body (constitutional monarchy).
 
Kapewa Duke of Edinburg, huyu baba hana asili ya kibritish yeye ni mzamiaji na pia hana any royal connection zaidi ya marriage. Watoto wake ndio wanayo hiyo haki maana wanadamu ya kifalme lakini sio yeye.

mmmh asanteh kwa Elimu,i appreciate kwakweli ila mmh kama kuna harufu ya ubaguzi hapo,ila atleast england sio wabaya saana in racism
 
Matatizo yako wapi, asili yake sio mbritish bana

umesema ni mzamiaji na hana damu ya ufalme
upo wrong
amezaliwa ni Prince huko kwao Greece

so sio mzamiaji na ana damu ya ufalme

hii kitu kwa Waingereza ni muhimu mno

ndo maana hawakumualika Obama wala Kikwete kwenye wedding lakini
wakamualika Mswati na King of Torro wa Uganda na falme zingine
Kwao damu ya ufalme ni kitu muhimu
na wengi wameoana hivyo
kuna ma prince wa ujerumani .Sweden na kadhalika
 
The Boss, what I meant hana damu ya kifalme ya british.

ok...basi nikupe tu info
falme nyingi za ulaya hazijali mipaka ya sasa..
sasa mradi anatoka katika 'recognised European kingdom' kwao its enough
mfano hakuna German prince or Princesses but kuna Bavarian princes and princesses..
so kwao all European Princes na Princesses wako equal na wanaoana....
 
Mawazo machafu yameniijia kichwani baada ya kuona picha hiyo juu... :target:
 
Back
Top Bottom