Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Mimi tayari zamanaani, ndio maana nilikuambia niko full package.Tujiandikishe octoba tuwanyooe magamba.
Mimi tayari zamanaani, ndio maana nilikuambia niko full package.Tujiandikishe octoba tuwanyooe magamba.
Mwanaume wa shoka Edward Ngoyai Lowassa baada ya kuvua gamba.
Huyu mzee namkubali sana. Ni mfano mzuri wa kuigwa badala ya kulia lia ni mwendo wa maamuzi magumu tu kuanzia sasa.Wa shoka Haswaaa. Watu wanatetemeka!
Mkuu nikisema uko usingizini naona haitoshi....Itakuwa photo shop tu, angalia lowassa kadi alivyoshika, mbowe njoo ututhibitishie picha hii
Wow! Jamani mbona utaniua kwa furaha? Huku Lowassa huku wewe una zawadi yangu....uwiiiiii!HAHAH NIFAH AISEE WE MREMBO ULIADIMIKA...EID UKALA PEKE YAKO.. fanya kunitafute nikupe dhawadi yako umenifurahisha sana kutimiza nguzo mojawapo ya imani yako..goodgirl
Imeandikwa....mwanamke atawaacha wazazi wake, ataambatana na mumewe.Wanawake kazi tunayo...natakiwa nimsapoti hazbandi, ndio...ni lazima nami nipewe kadi? Nsijejikuta kila pochi ina kadi yake, wakati hiyo siasa sina a wala be nayo...
Wow! Jamani mbona utaniua kwa furaha? Huku Lowassa huku wewe una zawadi yangu....uwiiiiii!
Nitakutafuta PM mpenzi, thanks in advance.
Wow! How sweet of you? Nimeshaona mamii.sawa ngoja nitafute funguo ya pm only for u...
Mmmmmmh mke wangu tuinue tu hizi kadi lakini nakuambia sasa hivi nitakimbizwa ICU Ujerumani kwa matibabu kwani mpaka sasa Apson Mwang'onda keshanitafutia maadui zaidi ya marafiki. Utaniagia Monduli Mama Fredy sawa?