charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,001
bill sina hasira yoyote ndugu yangu ila waliniumiza sana kunikatia mgombea wangu kwa chuki binafsii sasa nasema hivi mwambie nape aje achukue kadi yake no.AG. 638619_! naenda zangu CDM njia nyeupeee!!teh