Kweli asee hawakuwa na nyuso za furaha hata kidogo! Sio kawaida ya watoto kwa safari kama hizi.Huyu Mwl au mzazi aliyepiga picha hii kiukweli inamuumiza sana.
Watoto walionyesha ishara zote za masikitiko na huzuni kubwa ktk picha hii.
Kweli binadamu tumeumbwa kwa hisia za kujua baya mbele yetu lakini kwa ishara tu za mwili bila kupewa picha kamili ya tukio
MUNGU awape pumziko la milele Watoto hawa waliofariki Rhotia Karatu
Picha zinaongea mengi hawakuwa katika hali ya kawaida.... Zile shangwe na furaha za kusafiri kishuleView attachment 505465
Kabla ya safari wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent ya Arusha walipiga picha hii. Mungu twakuomba uwasamehe watoto wetu na uwahifadhi mahala pema peponi. Aamiin.