Picha ya Kumbukumbu

Picha ya Kumbukumbu

Mtoto pekee aliyebaki sasa baada ya majeruhi mwenzake naye kufariki.

Angalia picha ktk group na wenzake mwenyewe kitambaa kichwani (hijab) na nyingine akiwa na mama yake!
FB_IMG_1494089676580.jpg
IMG-20170507-WA0000.jpg
 
Daaaaa nihuzuni sana,yaaani wenye watoto tukijaribu kulichukulia ktk nafasi yatu ...maumivu yake si yakawaida
 
Ukiiangalia hiyo picha ya hao watoto, usoni hawaonekani wenye furaha kwa trip. Miili na roho zao zilikuwa na hisia fulani ambayo haikutafsirika. Mwenyezi Mungu azipokee na kuzilaza roho zao mahali pema
Uko sahihi 100% wanaonekana hata kabla ya safari hawakuwa na furaha na waweza hisi kama wamelazimishwa vile au wanasubiri adhabu......Shetani ni Mwovu tena ni muuaji na mtesi katili pia mchonganishi......Mungu Baba wape nguvu na ujasiri wote walopoteza watoto wao wapendwa....
 
Daaaaa nihuzuni sana,yaaani wenye watoto tukijaribu kulichukulia ktk nafasi yatu ...maumivu yake si yakawaida
Habari zinazotembea sasa kwenye grup zinasema mzazi mmoja alikuwa na watoto watatu hapo wote wamefariki katika ajali hii
Na baada ya kupata taarifa hizo, naye akafa kwa mshituko
Na vile vile inasemekana mume wake kafariki mwezi mmoja uliopita...

So sad yaan
 
Aise so sad
 
Hii picha inaongea mengi sana ukiitazama kwa jicho la tatu
 
hawa watoto walijua kitakachotokea maana sura zao namwonekano wao mmmmmh
 
Back
Top Bottom