Picha ya Kufunga Mwaka

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Naamini hii picha ni ya kufunguia mwaka, kijana huyu anaelewa umuhimu wa kutunza mazingira yetu ingawa hali yake kifedha ni duni.
Najua wengine watazungumzia hizo kamasi lakini ukweli ni kwamba hajapatikana mtaalamu wa kubadilisha hizo kamasi into GLUE. Huenda angefaidika na hiyo malighafi yake.


IMG_5316.JPG
 
wengi wamepitia huko...wanapangusa kwa shati na game inaendelea
ilikuwa wapi hapo naona soil ipo fertile...anastahili zawadi na pia kama mbuzi hawajaupitia
 
Alafu kama tunamdharirisha dogo vile.kwani nani hajapita ktk nyakati hizo? Kama ww hujui basi mama yako anajua.
 
scorpion-man.jpg
Picha ya Kufunga Mwaka ni hii Scorpion Man.

How many of this man have a handle?
spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
aPA0W3.jpg

<tbody>
</tbody>
Scorpio man pictures published on Twitter as a young

<tbody>
</tbody>

<tbody closure_uid_ia7cie="587">
</tbody>
 
scorpion-man.jpg
Picha ya Kufunga Mwaka ni hii Scorpion Man.

How many of this man have a handle?
spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
aPA0W3.jpg

<tbody>
</tbody>
Scorpio man pictures published on Twitter as a young

<tbody>
</tbody>

<tbody>
</tbody>

Picha ya huyo mtoto ni halisi na wala si photoshop.....hivyo bado mtoto ana nafasi yake (mtazamo wangu)
 
ina maana hiyo picha ndo imeharibu cku yako,kwani ww hujapitia huko,halafu soma alichoandika jamaa!!

<!-- google_ad_section_end -->
zhangwei3.jpg

zhangwei4.jpg

zhangwei5.jpg

zhangwei2.jpg
 
Back
Top Bottom