Picha ya kufikirisha weekend hii...

Picha ya kufikirisha weekend hii...

Fanyeni kutumia Google kidogo, hii habari ni trending leo kutwa nzima. Kwanini wabongo ni wabishi wabishi kama rais wenu ?
Hata ile habari ya Trump kumpongeza Magufuli kama ilivyolipotiwa na tbc ukiitafuta Google utaipata
 
KRUGER 1.jpg

KRUGER2.jpg
KRUGER2.jpg
 
Ni true, wanyama wameamua kuanzisha dola yao
 
Izo picha kwa akili ya kawaida ni zimeunganishwa
Kama imetokea labla ila c kwa hyo picha
Jua ni moja vivuli lazima viende muelekeo moja
Ikiangalia hyo picha ni mielekeo tofaut
Pia mtoto alivyokaa
 
Fanyeni kutumia Google kidogo, hii habari ni trending leo kutwa nzima. Kwanini wabongo ni wabishi wabishi kama rais wenu ?
wewe mwenyewe hapo ni mbishi na umebisha mpaka umeenda ku-google vinginevyo ungeishia kuangalia tu hii post. ajabu hutaki sisi tubishe ili tujiridhishe zaid kama wew
 
Wanyama huwa wanaongea kuna siku nilimsikia simba " anawaambia wenzake wakavamie ikulu .. Eti huyu jiwe lazima tuwasaidie watanzania kumtoa hahahah nilicheka sana na kumnunulia yule simba balimi ..
 
Fanyeni kutumia Google kidogo, hii habari ni trending leo kutwa nzima. Kwanini wabongo ni wabishi wabishi kama rais wenu ?
Ugonjwa wa ubishi umesambaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom