Picha ya kufikirisha weekend hii...

Picha ya kufikirisha weekend hii...

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,254
Reaction score
22,134
Imetokea Kruger park, South Africa. Game scouts walikuwa wanamfuatilia simba jike aliyembeba mwanaye, baada ya umbali wa kilomita mbili, alionekana kuchoka. Suddenly, akatokea tembo ambaye alionekana kutaka kutoa msaada, akaweka mkonga wake chini, yule mtoto wa simba akapanda, wakaanza kutembea kama inavyoonekana pichani.
Haijawahi kutokea before, and no body knew this was possible.

Jumapili njema.


29790542_1953753841361602_8979374199409660560_n.png
 
Fanyeni kutumia Google kidogo, hii habari ni trending leo kutwa nzima. Kwanini wabongo ni wabishi wabishi kama rais wenu ?
Ubishi ni lazima uwepo mkuu kwani ni very strange and unusual kwa kitu kama hicho kutokea.... halafu kumbuka leo ni tarehe 1 April ujue...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom