Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,930
- 2,554
Hujajibu swali alilouliza. Swali ninasema 'kwani bendera ya Zanzibar ipo?'
..learn to do your homeworks...!!
Hujajibu swali alilouliza. Swali ninasema 'kwani bendera ya Zanzibar ipo?'
Serikali tatu haikwepeki, hutaki jinyonge.
mbona mikoani sizioni?
Jamani naweza pata wapi kibendera cha Tanganyika, nataka niweke ndani kwangu mezani. Kwa Dar nielekeze nimtume mtu akaninunulie.
Asante
Niko Kigoma mkuu, ndio maana nimeamua kumtuma mtu. Is it a crime kuwa na bendera ya Tanganyika.kwanini utume mtu?nenda mwenyewe police post vinauzwa!kisha uje utupe feedback "customer service" nzuriiiii uliyopewa!lol!
Niko Kigoma mkuu, ndio maana nimeamua kumtuma mtu. Is it a crime kuwa na bendera ya Tanganyika.
Nzuri sana kwa hakikaHii ya TANGANYIKA
Na hii ya TANU
Naona watu wanazichanganya sana!
Tupate sasa vazi lenye bendera kama Kisu alivyotumia juziWana jamvi nawakumbusha wale wote wenye kuipenda historia ya kweli kesho tubebe bendera yetu ya Tanganyika maana hatujawahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania Bara!!!! ZumbeMkuu, ulishashona vazi lako? Pls tuikumbushe jamii yetu na watoto wetu ili vizazi vijavyo viikumbe Tanganyika kwa kumaanisha na sio kubabaisha! Happy Birthday Tanganyika!