Kuna ajabu gn kuwakosea? Hujawahi kukosea?Huyu mama mnyenyekevu sana mbele ya jamii lakini hivi alivyofanya siyo nzuri kwani alitakiwakutumia ushawishi wake.
Hii picha inaonyesha km vile aliwakosea watu hawa kitu fulani.
Kuna ajabu gn kuwakosea? Hujawahi kukosea?Huyu mama mnyenyekevu sana mbele ya jamii lakini hivi alivyofanya siyo nzuri kwani alitakiwakutumia ushawishi wake.
Hii picha inaonyesha km vile aliwakosea watu hawa kitu fulani.
Unaotawala nchi huo, ujanja unaishia ufipa.Huu ni upumbavu.
Wanahitaji mkurugenzi tu miujiza ya nini?Ila Chadema kwa kweli wana vifaa vya kutosha.
Alipojiuzulu Dr. Moleli nikajua hawa jamaa hawana reserve, kumbe jama wanaye Elvis. Ni balaa.
CCM wanahitaji muujiza kushinda jimbo la Siha.
Dr. Molel hata alipokuwa Chadema alikua sio mbunge wa kuwakilisha wananchi.
Alikua anajiwakilisha mwenyewe.
Mkurugenzi atayarudisha kiunoni.
Wazee walimwambia kuwa alishapewa sehemu ya shamba lake akaliuza. Sasa karudi nyumbani kwa wazazi anaomba agaiwe sehemu ya wengine. Wamasai wamemwambia akome kabisa hana lake tena.Ukiona hvyo ujue mambo ni tight kwa mollel sasa hvy inakula kwake ili iwe fundisho kwa wengine wanao rubuniwa
Huku kaskazini ni hawapat kitu zaid yakuongeza asira kwa wapiga kuraaWazee walimwambia kuwa alishapewa sehemu ya shamba lake akaliuza. Sasa karudi nyumbani kwa wazazi anaomba agaiwe sehemu ya wengine. Wamasai wamemwambia akome kabisa hana lake tena.
Wanakuja kwa unyenyekevu ngoja wapate wanacho omba... Mtashangaa sio wale. Ccm tumewazowea... Tunakumbuka mlivyo piga na push upMhhh.
Miteule ya baba bashite jinga kabisaWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Ngiriny, wilayani Siha kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk. Godwin Mollel katika kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio ya ubunge wa Jimbo hilo.
Chanzo: Mtanzania Digital
Kwani huwa wanapata au wanatangazwa?Wanakuja kwa unyenyekevu ngoja wapate wanacho omba... Mtashangaa sio wale. Ccm tumewazowea... Tunakumbuka mlivyo piga na push up
Jamani kupiga goti kwa.mwanamke ni kawaida kwa destury yetu Africa.na huyo huaa anapiga magoti kama hivyo?
hali ni tete nchi nzima siyo siha tuInaonekana hali sio nzuri kwa upande wao.